Nimeamini katika dunia hii hakuna Mwanamke mbaya

Kuna demu mmoja katoka bush nimemuona hapa mtaani yaani bado ana ile woga kabisa kwa mwanaume. Nafanya mchakato nione nafika vipi kwao chief mkwawa niweke ndani.

Ngoja niibishe kwanza. Hizi dada zetu za dar wacha tuendelee tafuta utelezi
 
Angalia yasje kukuta ya profesa j. demu unamtengeneza afu anakuja kuujua mji anakuona ww sio type yake.
 
TAFUTA HELA UMPENDEZESHE MREMBO, INAWEZEKANA

WE UNAMUONA MBAYA, WENGINE WANAMUONA MZURI
 
Nimetafakari ulipata wapi ujasiri wa kusema utamjibu, au ulikua bado kijana mdogo Mkuu [emoji23][emoji23]
 
Ushawahi lala na demu asubuhi unajiuliza “what was I thinking 🤔 “ the b*tch is ugly AF
 
Manchester United vs Arsenal
Umefanya Betting Wapi Hii Leo
 
Hahaha kumbe hujuagi mwanamke mzuri unaangaliaga mavazi?
 
uongo wengine si hatuamini hadi picha tuma picha ya mtako huo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…