Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

mkuu nielekeze kuhusu kufanya saving UTT
 
Ebu nipe akili mwanawane....nina million 7 hapa zimekaa kizembe nisije nikamaliza kwenye mbususu. Nipe mawazo niweke wapi japo nipate faida laki 7 kwa mwezi
 
Uko na bahati sana mke wako ni muelewa.
Ila kwa sasa nakushauri hiyo hela uifanyie biashara izalishe sio kuzikusanya utakuwa unajipa mateso mazito huku pesa uliyohifadhi itakuwa inazidi kushuka thamani siku hadi siku.
 
Hapo kwenye kuzila na Malaya ndipo wanaume tunapokosea na kupiga mweleka halafu tunasingizia tumelogwa. 😂 😂 😂 😂
Mimi mwanamke ata aniseme vipi kuzilaa hapna chakula ntakula na mbususu ntakula tumezinguana sisi lkn sio kwa hivyo vitu🤣🤣🤣
 
Una target kama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…