Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Ungekuwa una open mind

Ningekwambia online kunakitu kinaitwa “high income skills”

Nunua laptop nzuri na simu nzuri

Nununua bando tafuta ujuzi ambao utajifunza kilasiku

Baada ya mwaka au miaka 2 ROI itakuwa kubwa sana .

Mimi hela nyingi nazopata nawekeza kwenye soft skills.

Return niliyoipata sijawahi kuwaza kwamba ningekuja kupata.
Nielekeze hizo skills, maana maji yamefika shingoni
 
IMG_9756.jpg

IMG_9757.jpg
 
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke aliridhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.

Update;
Now Salio la UTT linasoma 30m+ malengo ni kuendelea kuwekeza until nifike 100m hapo ndipo nahisi nitaanza kupata financial freedom.
Waswas wangu unaweza kuwa haupo dunian
 
Umejitesa sana mkuu..... inabidi uchukue kidogo ukajipongeze mwisho wa mwaka
 
Hongera sana. Uwekezaji ni mzuri sana kwenye huo mfuko hasa kama huna muda wa kusimamia biashara actively. Mimi nina 136M so far na kazi inaendelea mpaka kufikia financial freedom. Mungu atuongoze inshallah
 
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke aliridhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.

Update;
Now Salio la UTT linasoma 30m+ malengo ni kuendelea kuwekeza until nifike 100m hapo ndipo nahisi nitaanza kupata financial freedom.
Njia ya mafanikio.....
 
Back
Top Bottom