Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka upate faida milioni 1 kwa mtaji wa buku 50 ,HAIWEZEIANI!!!Sasa mil 200 mtu anaweka utt huyo sio mwenzio. Sie bodaboda kiweka mil 25 utt ni counter productive kabisaaa
Nakubaliana nawe na ndio maana nikasema .tu ambaye anaweza wekeza over 200mil ujue huyo hamlingani.Unataka upate faida milioni 1 kwa mtaji wa buku 50 ,HAIWEZEIANI!!!
scenario kama hio very risk kupoteza ni dakika 0 tu. Au hata kuhatarisha afya Yako kama sio maisha Yako.
Risk: reward ratio. Haiendi hivyo.
Weka mzigo mkubwa upate faida kubwa Hela isiyo na MAWAAA!!!
just imagine mtu anaweza 1b tshs analamba ngapi kwa mwaka!? Labda atapewa 10% tu ambayo ni sawa na 100m aisee!!! Hii Hela ndefu sana still
Unaweza enda itapanya huko VIWANJA!!!! yote na still mwakani mzigo unasoma bila kuvujasho.
Au tuseme ukishalamba 100m unazirudisha kama mtaji , Compounding interest!!. Next year mzigo u asoma 110m. Maisha yanataka Nini ZAIDI!!?
Compound interestKwer kutoboa ni ngumu Nini ushauri wako kwa yule mwenye Pato Dogo anawezaje kusave kipato kama ulichonacho Maisha yanapanda kila wakati
Usiwe pessimist.Mwamba sikia
Unaweza poteza maisha uwe makini sana na hiyo furaha ,ibilisi nayemjua miezi hii miwili anaenda kukupata ,Sasa Kaa utulie uwe kawaida
Mambo yote yanawezakana.Nakubaliana nawe na ndio maana nikasema .tu ambaye anaweza wekeza over 200mil ujue huyo hamlingani.
Suala la risk reward linajulikana lakini mpaka mtu kuweka billion ujue alifanya kitu tufauyi mpaka kuzipata hizo hela
Mimi namesake 20m mwaka huu , nataka niziingize huko UTT. Kuanzia mwakani Mungu akijalia uzima naweza kuongeza mtaji wangu 2m monthly.Mchezo wa saivi UTT ni mgumu mwanzoni tu ukishazoea hutokuja kujutia
Sawa chiefCompound interest
Wawekezaji hawafi mapema wafanya biashara ndio wanakufa wawekezaji wanafukuzia ndoto mpaka zitokeeUkifkisha 20M unakufa ndugu tunaidhulumu familia yako
UTT umewekeza mfuko gan kaka ambao ni mzuriKwanini Mkuu. Actually nimeamua kwa mwezi huu na ujao asilimia 50 ya vipato vyangu niendelee kuwekeza kwenye ile 14.7 nyingine mahitaji ya familia. Hata hivyo mpaka Sasa UTT inasoma 30ml + kutokana na savings mbalimbali nilizowekeza.
Mfuko gani ni mzuri kaka kusave utt kwa kianzio cha mil 5??Mimi namesake 20m mwaka huu , nataka niziingize huko UTT. Kuanzia mwakani Mungu akijalia uzima naweza kuongeza mtaji wangu 2m monthly.
Ndio nataka niende pale ofisi kwao wanipe maelezo vizuriMfuko gani ni mzuri kaka kusave utt kwa kianzio cha mil 5??
Kuna mifuko 2 nataka niwekeze but am not so sure upi ni sahihi kati ya liquid au bondNdio nataka niende pale ofisi kwao wanipe maelezo vizuri
Ok, sijapata taarifa za uhakika badoKuna mifuko 2 nataka niwekeze but am not so sure upi ni sahihi kati ya liquid au bond