Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

2.5 m kwa muda wa miaka 20,,jumla unakuwa ume make 50 m na hapo hiyo 25 m uliyonunulia hatifungani inarudi kwa hiyo hapo unakuwa umeiua inflation kwa asimilia zaidi ya mia tatu hivi.
Mimi bonds ndio mpango nataka at 50 yangu nilibata tu mwanzo mwisho. Nikijali kufika huo umri
 
Sasa mil 200 mtu anaweka utt huyo sio mwenzio. Sie bodaboda kiweka mil 25 utt ni counter productive kabisaaa
What if Kila mwaka unaweza kusanya 25m out of your expenses.

Na ukazitulia huko tuseme miaka 5 hivi ya mwanzo.

Utakuwa mtu tofauti sio yule yule.
 
Sasa kazinywee pombe ustarehe (kula bata) na malaya wa nje uwawache mkeo na wanao hawali matunda ya kuteseka kwao.

Dah walau hata post moja ya kumsifu na kumsapoti

Kwan kila post lazima uwasimange watu mama.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtie moyo bwana naamini kama kakomaa hivyo hawez fanya ujinga wa kutekekeza pesa yote kwa mambo ya ajabu

Ingekuwa mambo ya easy come.. then possibilities ya easy go ingekuwepo....ila ameisotea hiyo
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Sasa unamlazimisha anunue bondi za serikali 🤣🤣🤣
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
ila wewe bibi una utindio wa ubongo, sio bure
 
Kwer kutoboa ni ngumu Nini ushauri wako kwa yule mwenye Pato Dogo anawezaje kusave kipato kama ulichonacho Maisha yanapanda kila wakati
 
Hongera, kwa huu wakwangu wa 400k ngoja namm nijarbu kukaza fuvu nisave angalau 250k, as long nipo singo naamini ni uhakika kabisa. [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Binafsi nimeelewa hoja yako. Wanaume wengi tuna huu upuuz wa kuitenga familia kwenye kula mavuno.

Kwangu mm hiyo Mil 14. Ninaipata kwa kukopa. Naweza ila ikaisha nikakopa tena na tena. Lkn kuna kosa moja ambalo tunalifanya aisha kwa kujua au kutokujua.

Huyo jamaa hapo hajataja ada, atakuwa amewatoa kafara kayumba school.

Nilidhan atasema analipia wanae ada wapate elimu na kiingilishi za media school.

Sisi ndio wale tunafariki watoto hawana missingi ya elimu.

Kuna wkt nilikopa 34mil, nikaifqnyiq project nikakopa 14 Mil nikaiprojektia, nikachukua tena 7 Mil.


Mshahara kwa mwez nalipa ada za watoto kidgo kidg. Watoto 4 kila mtoto si chini ya 2. 3 mil per year per each. Ni sawa na 2.3 Mil x 4 kids


Bia nimepunguza ukahaba sifanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…