Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

K
Vyeti feki wengi wapo kazini wanadunda, hata ndugu zangu na marafiki zangu wapo wengi jeshini kwa vyeti feki wanadunda.

Kibwengo Magu alikuwa mwamba wa kuinea vidagaa huko, walimu wa UPE
Kweli mkuu kuna mzee tupo nae hapa ni vyeti feki na Kila mtu anajua maana kwenye hii taaluma Hana anachojua hata kidogo lakini kaajiriwa na serikali ya Tanzania, na wakati wa vyeti feki alihonga sanaaa na mpaka leo yupo hapa anadunda.
 
Embu lete iyo ya kumvuta mwanamke Kuna pisi apa imekula pesa zangu sanaa
Nipo busy sana kaka, wateja wengi mno hawa wanaotaka kuiba waume za watu jumla..yaani nina wateja Dr. Mwaka akasome.. nivumilie tatizo lako kwa muda.
 
Hyo ya kuweka jiwe kwenye gari la marehemu huwa ni kawaida nimeshashuhudia mara nyingi sana.
Kuweka bila huo udongo kutoka Sehemu aliyoagiza apelekwe kama jamaa alivyoandika hapo juu,?
 
Kadiri inavyowezekana ni kufuata maagizo ya marehemu kabla hajafaa!
 
Back
Top Bottom