Roho ya mauti inafanya kazi sana kwenye misiba
Mungu ashukuriwe kwa kutupatia roho wake anayeweza kushinda roho zote mbaya
Kweli mkuu kuna mzee tupo nae hapa ni vyeti feki na Kila mtu anajua maana kwenye hii taaluma Hana anachojua hata kidogo lakini kaajiriwa na serikali ya Tanzania, na wakati wa vyeti feki alihonga sanaaa na mpaka leo yupo hapa anadunda.Vyeti feki wengi wapo kazini wanadunda, hata ndugu zangu na marafiki zangu wapo wengi jeshini kwa vyeti feki wanadunda.
Kibwengo Magu alikuwa mwamba wa kuinea vidagaa huko, walimu wa UPE
Nipo busy sana kaka, wateja wengi mno hawa wanaotaka kuiba waume za watu jumla..yaani nina wateja Dr. Mwaka akasome.. nivumilie tatizo lako kwa muda.Embu lete iyo ya kumvuta mwanamke Kuna pisi apa imekula pesa zangu sanaa
Kuweka bila huo udongo kutoka Sehemu aliyoagiza apelekwe kama jamaa alivyoandika hapo juu,?Hyo ya kuweka jiwe kwenye gari la marehemu huwa ni kawaida nimeshashuhudia mara nyingi sana.