Nimeamini mjini akili tu

Nimeamini mjini akili tu

Mpaka kupata huo ujinga sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nirahisishie tu niunganishe na Mzee niwe na trade na Mimi nalala hotel ya 15'000 Kwa siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio forex wala maana hiyo nlishajaribu nkaona picha picha nkapotezea
Hadi ma book nlinunua ya forex nkajionea ushubwada
Nakwambia nalipa kodi ni ishu halali kabisa
In short nafanya consultation ya mambo flani flan
Manyanza atakuleta ofisini kwangu ila kwa appointment. Sio nikupe mchongo ila uone kwamba nafanya kitu halali
 
Binafsi ukiniambia kuna mchongo WA hela unachotakiwa ni kuwa sharp na lapt top yako huku unakunywa wine...
Akili ya kawaida inaniambia ni "crime related"...
Sasa kama ni uhalifu ...basi hupaswi kuwaambia ambao hawajihusishi kuwa wavivu au wamezubaa.....

Wewe endelea na michongo....lakini ambao hawafanyi Haina maana hawajui wengine wanajua hawataki
Hapana kaka kuwa na laptop unapiga hela kwa waTanzania waoga. Mfano:-
1) Passport applications ukimjazia mtu analipa 15,000. Ukipata waombaji 10 sawa na 150,000
2) Wanao omba ajira au shule 10,000 hadi 15,000
3) Wanaoomba visa ubalozoni 3,000,000 mpaka 10,000,000.
 
Hapa mtu ukijichanganya unapigwa. Hizi mbinu tunazitumia sana. Unakataa kabisa kutaja mchongo ila unataja faida unayopata.... Mtu atalazimisha sana.... Baadaye unamwambia wewe nimeona upo serious na upo smart nitakuambia. Ila ni siri...... 🤣
 
Mkuu kila mtu ni criminal until court prove otherwise, sasa kwa sisi tuliotokea familia masikini ukiogopa crime utawaponza wanaokutegemea kikubwa you kill no body.
 
Hapa mtu ukijichanganya unapigwa. Hizi mbinu tunazitumia sana. Unakataa kabisa kutaja mchongo ila unataja faida unayopata.... Mtu atalazimisha sana.... Baadaye unamwambia wewe nimeona upo serious na upo smart nitakuambia. Ila ni siri...... 🤣
Asee kuna jamaa kaja inbox me hata sijamjibu na sitegemei kumjibu.
Kama ww tapeli usione kila mtu tapeli. Be positive jifunze hata kwa kupita kwenye vistationery tu vya mtaani utapata kitu.
Sasa kama salary slip tu mtu analipa adownlodiwe ndo ishu kubwa.
 
Hapana kaka kuwa na laptop unapiga hela kwa waTanzania waoga. Mfano:-
1) Passport applications ukimjazia mtu analipa 15,000. Ukipata waombaji 10 sawa na 150,000
2) Wanao omba ajira au shule 10,000 hadi 15,000
3) Wanaoomba visa ubalozoni 3,000,000 mpaka 10,000,000.
Usiwafungue macho hawa wajinga...
Acha waendelee kuwa gizani si wananiita tapelii ukiwauliza nimetapeli nini hawana majibu
 
Ishu ya stationery nimeitaja kama mfano mdogo sana
Mambo yakienda hivi ntajenga asee na mkoko mkaliii
Na iPhone latest bought in Europe at the European Market
Mimi nimetaja stationery kwakua ndio biashara yangu rasmi na imenikutanisha na fursa nilizonazo naahidi kuilinda hii biashara kwakua kupitia hii kuna opportunities nyingi muhimu utafute strategic location itayokukutanisha na watu sahihi
 
Me yangu sio stationery ila najua yanayofanyika stationery kwakuwa mwanafamilia anaifanya...stationery ni zaidi ya photocopy na kuuza daftar asee
Ila mpaka ujue lazima uongee na watu vizuri au uwe ushakaa mle ndani..
 
Back
Top Bottom