Sio forex wala maana hiyo nlishajaribu nkaona picha picha nkapotezeaMpaka kupata huo ujinga sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nirahisishie tu niunganishe na Mzee niwe na trade na Mimi nalala hotel ya 15'000 Kwa siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye mitandao kilamtu anaishi maisha ya kifahari... Anyways ndio raha mjini usiishi kizembe, utawapata washamba humuHahaha njoo nkupige kwanza hyatt la kempisk utulize stress
Me sio shida zangu...wapo wanaonijua humu
makaveli10 mwambie mwenzio...eti me niko geto
Koza leo utararuliwa sana...niko palee😂We jiongeze tu fursa hazijaisha....
Mchongo unataka uwe sharp kichwan kidogo
Hapana kaka kuwa na laptop unapiga hela kwa waTanzania waoga. Mfano:-Binafsi ukiniambia kuna mchongo WA hela unachotakiwa ni kuwa sharp na lapt top yako huku unakunywa wine...
Akili ya kawaida inaniambia ni "crime related"...
Sasa kama ni uhalifu ...basi hupaswi kuwaambia ambao hawajihusishi kuwa wavivu au wamezubaa.....
Wewe endelea na michongo....lakini ambao hawafanyi Haina maana hawajui wengine wanajua hawataki
Mkuu kila mtu ni criminal until court prove otherwise, sasa kwa sisi tuliotokea familia masikini ukiogopa crime utawaponza wanaokutegemea kikubwa you kill no body.Binafsi ukiniambia kuna mchongo WA hela unachotakiwa ni kuwa sharp na lapt top yako huku unakunywa wine...
Akili ya kawaida inaniambia ni "crime related"...
Sasa kama ni uhalifu ...basi hupaswi kuwaambia ambao hawajihusishi kuwa wavivu au wamezubaa.....
Wewe endelea na michongo....lakini ambao hawafanyi Haina maana hawajui wengine wanajua hawataki
Jambazi wewe🤣🤣🤣Hapa mtu ukijichanganya unapigwa. Hizi mbinu tunazitumia sana. Unakataa kabisa kutaja mchongo ila unataja faida unayopata.... Mtu atalazimisha sana.... Baadaye unamwambia wewe nimeona upo serious na upo smart nitakuambia. Ila ni siri...... 🤣
Asee kuna jamaa kaja inbox me hata sijamjibu na sitegemei kumjibu.Hapa mtu ukijichanganya unapigwa. Hizi mbinu tunazitumia sana. Unakataa kabisa kutaja mchongo ila unataja faida unayopata.... Mtu atalazimisha sana.... Baadaye unamwambia wewe nimeona upo serious na upo smart nitakuambia. Ila ni siri...... 🤣
Usiwafungue macho hawa wajinga...Hapana kaka kuwa na laptop unapiga hela kwa waTanzania waoga. Mfano:-
1) Passport applications ukimjazia mtu analipa 15,000. Ukipata waombaji 10 sawa na 150,000
2) Wanao omba ajira au shule 10,000 hadi 15,000
3) Wanaoomba visa ubalozoni 3,000,000 mpaka 10,000,000.
Nitakuuliza usiku tukiwa kwa bed🤣
Mimi nimetaja stationery kwakua ndio biashara yangu rasmi na imenikutanisha na fursa nilizonazo naahidi kuilinda hii biashara kwakua kupitia hii kuna opportunities nyingi muhimu utafute strategic location itayokukutanisha na watu sahihiIshu ya stationery nimeitaja kama mfano mdogo sana
Mambo yakienda hivi ntajenga asee na mkoko mkaliii
Na iPhone latest bought in Europe at the European Market
Me yangu sio stationery ila najua yanayofanyika stationery kwakuwa mwanafamilia anaifanya...stationery ni zaidi ya photocopy na kuuza daftar aseeMimi nimetaja stationery kwakua ndio biashara yangu rasmi na imenikutanisha na fursa nilizonazo naahidi kuilinda hii biashara kwakua kupitia hii kuna opportunities nyingi muhimu utafute strategic location itayokukutanisha na watu sahihi
Nakuja PM dada pliiz pliiz nipe mchongo mpwayungu aniheshimu Mwl mimiWe jiongeze tu fursa hazijaisha....
Mchongo unataka uwe sharp kichwan kidogo