Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #121
Dah me hizo ishu za pyramid sijawah kuziamini. Najua unani provoke ili nifunguke ila sitasema kamweeeeeeUkitaka kukuelewa vizuri huu uzi soma huu uzi hapa chini
Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai
Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...www.jamiiforums.com
Ntakuwa kama mwanaume aliyetahiriwa porini bila ganzi