Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mtu kama huyo unampotezea tu. Kuweka hadharani mawasiliano yako na mtu kutawapa mashaka hata wale wanaokuamini.Ananiandama sana mbwa huyu
Kumbe nimemtoa baru na kilaki chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama huyo unampotezea tu. Kuweka hadharani mawasiliano yako na mtu kutawapa mashaka hata wale wanaokuamini.Ananiandama sana mbwa huyu
Kumbe nimemtoa baru na kilaki chake
Sasa issue za akina wangari mathai zimekujaje?Kama unaweza kurudia nilichoandika ili usiendeshwe na mihemko rudia mama.
Mnasema mnatumia ujinga wa watanzania kujinufaisha au kupata pesa, that's fine coz mnatoa huduma. Huko stationery mnaopotolea mifano sio kwamba watu hawajui...
Kwamba nataka kutapeli au??
We hunijui
Wapo wanaonijua vizuri tu nje ya jf..
Kama hujui usione kila kitu hakiwezeka
We deffer in prefferencesWeee ndo wale unaroga jirani kisa anapika nyama kila siku. Kwa level hyo ya thinking siwezi ku argue na wewe. Nakubali kutofautiana
[emoji28][emoji28]Hapa mtu ukijichanganya unapigwa. Hizi mbinu tunazitumia sana. Unakataa kabisa kutaja mchongo ila unataja faida unayopata.... Mtu atalazimisha sana.... Baadaye unamwambia wewe nimeona upo serious na upo smart nitakuambia. Ila ni siri...... [emoji1787]
Mie nishakuelewa kitambo Ila average man anataka ashikwe mkono tu awekewe chakula mdomoni.Nishatoa mfano mmoja hapo...ujinga wa watu kwako fursa....
Nimesoma original post, uliandika vizuri ila bahati mbaya ukaona utumie tabaka fulani la watanzania kuelezea uwezo wako kwa kile unachofanya. Kwamba walimu ni wajinga kiasi hicho kweli?Sasa issue za akina wangari mathai zimekujaje?
Basi wewe ni akili kubwa....Mie nishakuelewa kitambo Ila average man anataka ashikwe mkono tu awekewe chakula mdomoni.
Binafsi huwa nakubaliana mno na shule zinazom shape mwanafunzi kujitafitia Mana maisha ndio yako Ivyo.
Pia umenichekesha kuwa tunakuona kilaza hapa jukwaani. Mbona wapo wanakuona Kama genius fulani mwenye Gene za Albert Einstein na akila Nikola Tesla mama
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.@chellenger
We ni member wa siku nyingi ulofungua I'd kunishambulia haya dhambi zako hizo.
Tena nikome. Nakupotezea ila umezidi
Eti laki
Laki mpe mkeo anunua unga
Next time usini judge mimi kwa kutumia.refence ya mtu. Nipime mimi kama mimi.Nimesoma original post, uliandika vizuri ila bahati mbaya ukaona utumie tabaka fulani la watanzania kuelezea uwezo wako kwa kile unachofanya. Kwamba walimu ni wajinga kiasi hicho kweli?
BTW, nimechukua kile kidogo tu katika kikubwa ulichoandika, nikaamua kuwa negative kwa hoja yako yote and I'm entitled to my opinion.
Hv wewe unafikir watz bado wajinga wasijue hiyo PM ni wewe umejiandikia kwa ID yako nyingine??🤣🤣Ananiandama sana mbwa huyu
Kumbe nimemtoa baru na kilaki chake
Hakuna niliposema aliishi fake, nimesema nimemiss pigo kama zake coz nimefananisha huu uandishi na wa kwake, kwamba alikuwa fake au sio mimi sijui.Next time usini judge mimi kwa kutumia.refence ya mtu. Nipime mimi kama mimi.
Kama wangari aliishi fake me siko fake Kama ulivyotumia huo mfano kuwaaminisha watu .
Mbon tumeshakuelewa mkuu hizo issue zilikua zinafanywa ubungo kabla ile flyover haijajengwa the same k/Koo, posta na buguruni kwa hio sio jambo jipya au geni kuwapiga watu mchanga wa macho kwenye hii nchi na wewe sio wa kwanza km ulivyosema kuna wakubwa zaidi yako yaan wewe ni kidagaa kidogo kinachochipukia ni channel tu Ila usishtukiwe na usidakwe (maneno haya ushasema wewe mwenyewe)Basi wewe ni akili kubwa....
Wachache sana wamenisoma.
Ngoja oya oya waendelee kuniita tapeli ila wakubwa wenye IQ zao wamepata nondo
Ni kweli😅😅Kupigika pia ni maisha
Penye tatizo ama ignorance Kuna hela.Basi wewe ni akili kubwa....
Wachache sana wamenisoma.
Ngoja oya oya waendelee kuniita tapeli ila wakubwa wenye IQ zao wamepata nondo
Anapigwa hadi SSH nini kinashindikana ?Ni kweli😅😅
Very hard task n very risk task Kuna boda boda kakanyagwa na DSM hapo maeneo ya mwanachi leo asubuhi amepasuka kichwa, but ni idea nzuri piaPenye tatizo ama ignorance Kuna hela.
Mfano Kuna mradi mmoja nauwaza unamiliki boda unampa kijana ,Hawa akina mama wanabakia home , wanafua,Wana watoto wananyonyesha,wanacheki series,tamthilia,wanapiga soga wanakuwa wavivu wa kwenda magengeni kufanya maemezi lunch nakuwa na app yangu Kama Uber wanatuma Oda zao nazo asubuhi nanunua Kama nyanya za 300,kitunguu Cha 200,dagaa 1000, mchicha wa 500,Mafuta ya kula ya 200 nampelekea mafuta wananilipa kwa mwezi ama kila mmama anatoa 250 Mana natafuta eneo ambalo Ni congested,Mana ukipata Kama Kaya buku ivi unalaza kitu Kama 200k unamzidi mwenye PhD anayelilia kutoteuliwa u rc pia.
Nyingine unapika chakula unakuwa na mdada unatafuta networks wale wavivu wa kupika ama mabachelor unawapelekea lunch wakiwa maghetoni Mana wapo wasiopenda kutoka kama vile mkiwa loji ndani kwa ndani unaletewa msosi hamshuki chini mana mko na nguo laini,Hawa Kuna service Kama ya 500,