Dah me hizo ishu za pyramid sijawah kuziamini. Najua unani provoke ili nifunguke ila sitasema kamweeeeeeUkitaka kukuelewa vizuri huu uzi soma huu uzi hapa chini
Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai
Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...www.jamiiforums.com
Salama ?
Dah kila siku najifunza hapa duniani....NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU ...HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI.
Sasa basi Kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu moja hivi....sasa bwana nikashangaa sana huyu mzee maisha yake yote anaishi hotelini..I mean kwa siku analipia elf 60 hadi 70 za kulala (inaweza kuwa ndogo kwako ila kwangu kubww sana kwa siku) na muda wote anapiga ulabu wa gharama tena akiwa na kampani ya mtu hadi 6 mpaka jogoo anawika. Nikawa najiuliza huyu dingi anashinda hotel anakesha bar pesa anatoa wapi??
Basi binafsi ishu aliyopaswa anisaidie hakunisaidia badala yake akawa ananikaribisha niwajoin mida ya jioni wakiwa wanapata mambo yao. Katika story zake Alisema ameona nina akili sana so nitampatia utajiri so niwe mpole nimsikilize (najua mtabisha kwakuwa mnaniona kilaza sana humu).
Akawa ananituma kumfanyia kazi zake binafsi kwa kunituma] HICHI KITUNGUU BEI GANI?
Sijasema unafanya Ponzi scheme Ila ndio wale wale unacheza na akili za watu tu akija kushtuka kashaibiwaDah me hizo ishu za pyramid sijawah kuziamini. Najua unani provoke ili nifunguke ila sitasema kamweeeeee
Ntakuwa kama mwanaume aliyetahiriwa porini bila ganzi
Kila mtu Ana uelewa wake..kikubwa sikwapui unakuja mwenyewe kuomba huduma ambayo in reality ungeweza kuifanya mwenyewe ila kwa sababu flan flan unanipatia niifanye. Naweka bei yangu tunasonga mbele.Sijasema unafanya Ponzi scheme Ila ndio wale wale unacheza na akili za watu tu akija kushtuka kashaibiwa
Alie elewa kaelewa Mjini akili wezi ndio wanaotajirika zaidi ukiwa sio mwizi sahau kutajirika sio kwamba unatumia ujinga wa mtu hapana ni manipulation tu za kumpiga parefu km muuza jeans na viatu na mabegi
Kiatu Cha 30,000 anakuuzia 100,000
Begi la 40,000 anakuuzia 120,000
Jeans ya 15,000 anakuuzia 45,000
Anatumia ujinga wako wa kutokujua kutengeneza pesa poop za kichwa
Yes that it is but out of the box unakwiba yaan ndio ni client wako lakini kwa kua ni mjinga hajui unatumia ujinga wake kumuibia ushanielewa kwa hio in another point of view wewe ni Mwizi usiseme kua umesingiziwa wewe ni tapeli in making, yaan unamfanya mtu aingie kwenye lengo lako akijaa tu kaliwa so we know all that na ni vyema usisitukiwe mapema au usikutane na mtu tapeli km wewe maana ishu lazima ibume au unataka kuniambia hujawahi bumisha hata mara moja tangu uanze ?Kila mtu Ana uelewa wake..kikubwa sikwapui unakuja mwenyewe kuomba huduma ambayo in reality ungeweza kuifanya mwenyewe ila kwa sababu flan flan unanipatia niifanye. Naweka bei yangu tunasonga mbele.
Sioni kama nafanya utapeli maana ni kampuni nyingi zinafanya hivi tena kwa gharama kubwa sana. Me yangu ni robo ya wenzanguYes that it is but out of the box unakwiba yaan ndio ni client wako lakini kwa kua ni mjinga hajui unatumia ujinga wake kumuibia ushanielewa kwa hio in another point of view wewe ni Mwizi usiseme kua umesingiziwa wewe ni tapeli in making, yaan unamfanya mtu aingie kwenye lengo lako akijaa tu kaliwa so we know all that na ni vyema usisitukiwe mapema au usikutane na mtu tapeli km wewe maana ishu lazima ibume au unataka kuniambia hujawahi bumisha hata mara moja tangu uanze ?
ERoniLife bwana, ila wanasema kila mtu ale alipopeleka mboga sio!!
Ujinga kwa mmoja na mwingine waweza kuwa werevu, ukipata fursa fanya, enjoy...ila usiwaseme wengine kuwa wajinga kwa vile tu kuna fursa wewe umeipata na wengine hawaijui.
Maisha ndivyo yalivyo, hatuwezi kuwa omnipotent kama Mungu, so umepata chance ya kutengeneza pesa wewe tengeneza, unataka kushirikisha wadau fanya hivyo, unaona haifai "unanyut" tu ila usiite watu wajinga kisa umepata fursa ambayo two yrs ago hukuwa na A wala B yake.
This makes me miss Wangari Maathai. Same "pigos"!!
Duh!.Binafsi ukiniambia kuna mchongo WA hela unachotakiwa ni kuwa sharp na lapt top yako huku unakunywa wine...
Akili ya kawaida inaniambia ni "crime related"...
Sasa kama ni uhalifu ...basi hupaswi kuwaambia ambao hawajihusishi kuwa wavivu au wamezubaa.....
Wewe endelea na michongo....lakini ambao hawafanyi Haina maana hawajui wengine wanajua hawataki
Kama unaweza kurudia nilichoandika ili usiendeshwe na mihemko rudia mama.ERoni
Nakuheshimu sipendi nikuvunjie heshima.
Sijaiba wala sijawah kuiba chako.
Pls pls pls
3 times hyo
Haya sawa hongera mkuu...Sioni kama nafanya utapeli maana ni kampuni nyingi zinafanya hivi tena kwa gharama kubwa sana. Me yangu ni robo ya wenzangu
Habari yako. Upo mkoa upi , wilaya ,mtaa na namba ya nyumba. Ukinipa na contact zako itapendeza. Kuna moja la msingi nataka Ku share naweSio ishu haramu kabisaa
Ni halali
Asee nalipa kodi tra
Nina leseni
Nina ofisi
Tatizo lenu mnaamini kwamba kila ishu ya hela nyingi lazma iwe haramu...sio kabisa.
Manyanza waambie wenzako