Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Salama?
Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI.
Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu moja hivi. Sasa bwana nikashangaa sana huyu mzee maisha yake yote anaishi hotelini. I mean kwa siku analipia elf 60 hadi 70 za kulala (inaweza kuwa ndogo kwako ila kwangu kubww sana kwa siku) na muda wote anapiga ulabu wa gharama tena akiwa na kampani ya mtu hadi 6 mpaka jogoo anawika. Nikawa najiuliza huyu dingi anashinda hotel anakesha bar pesa anatoa wapi?
Basi binafsi ishu aliyopaswa anisaidie hakunisaidia badala yake akawa ananikaribisha niwajoin mida ya jioni wakiwa wanapata mambo yao. Katika story zake Alisema ameona nina akili sana so nitampatia utajiri so niwe mpole nimsikilize (najua mtabisha kwakuwa mnaniona kilaza sana humu).
Akawa ananituma kumfanyia kazi zake binafsi kwa kunituma sehemu mbalimbali. Nikaamua kuwa mjinga tu kwamba niwe namsikiliza na kufanya kazi zake bila hata malipo.
Sasa akanipatia mchongo flani. Mwanzoni niliuona mgumu sana kwakuwa hadi umu identify mteja sio kazi rahisi. Huu mchongo unatumia ujinga wa Watanzania na utapiga hela ndefu tu.
Basi bwana baada ya kama mwezi hivi nikaanza kupata wateja. Yani salary yangu ya miezi 6 wakat nimeajiriwa nkaipata kwa mwezi mmoja. In short ule mchongo unafanya kazi na glass ya wine umerelax kabisaa kikubwa uwe na laptop, simu na data. Of course na connection kidogo. Yani mteja mmoja tu kwa mwezi anatosha unaishi kama mkuu wa idara ngazi ya mkoa.
Nikaamini kwamba mjini inatakiwa akili tu nguvu uache kijijini. Watanzania wengi ni wazito, hawajiamini, waoga sana na wavivu kufanya ishu zao hata zile ndogo sana. Sasa wachache wajanja wanatumia huo udhaifu kuishi mjini.
Sijutii kumfahamu yule dingi. Mwisho Ongea na watu vizuri. Unayedhani hana maana anaweza kuwa wa manufaa kwako. Aliyeni connect na huyu dingi ni bolt driver tu baada ya kuniskia naongea kuhusu ishu flan nikiwa mkoa flani kwa mapumziko.
Note: mchongo sitautaja kabisa. So msiniulize sana. Hiyo ni password ya maisha.
Kingine sitaki mtu PM. Nimetoa mfano wa maombi ya vyuo tu, kwamba ukiutumia vizuri ni fursa. Kwani watu wa stationery wanafanya nini? Hadi kuangalia salary slip ya mwalimu wanachaji buku 3 na wapo Town wana hela kwa kutumia ujinga wa Watanzania wakiwemo walimu. So jiongeze
Nyie mlioko PM msijisumbue sitajibu. Fee nachaj kihalali kabisa in USD beibee (najua mnasonya ila ndo hvo tafuta ujinga uutumie kama fursa pia ongea na watu vizuri). Kodi tunalipa na leseni zipo.