Zilikuwa penati mbili na zote za kunawa, Dikson naye ile ni red cad, refa kacheza fair kabisa, Kibabage ile ni offisde inaonekana,hawa majamaa lazima walalamike tu timewazoeaMbona huongelei penalit walizo nyimwa Mediama?
Kama ni goli, na pia kama ni red card basi katoe ww, mnabaki kulalamika tu shame on you hamkosagi visingizioHv mbona mi sioni mantik ya wewkuongea huu upuuzi wako? Kwa hoo Ile sio goli au? Ile sio clear red card + Ile aliochezewa lomalisa kwenye mechi na alahly? Mbona Simba mmekua wehu sana baada ya kipigo Cha zile goli 5? Ok mnaongea hivyo Leo tunawangoja mpate ushindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Simba mna shida sana aisee. Ni penalty kwamba job alikua mtu wa mwisho kukaba? Yan Ile ya kibabage seriously kabisa ni offside? Pale labda kunawa kwa mwamnyto ila Ile nyingine alificha mkono. Mmeanza kushabikia mpira lini lakn? Anyway nakungoja usiku mtaniZilikuwa penati mbili na zote za kunawa, Dikson naye ile ni red cad, refa kacheza fair kabisa, Kibabage ile ni offisde inaonekana,hawa majamaa lazima walalamike tu timewazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunawangoja jioni. Safar hii undava undava tu mungu asaidie mpigwe nyingi muache vzur kwenda kiwanjani🤣Kama ni goli, na pia kama ni red card basi katoe ww, mnabaki kulalamika tu shame on you hamkosagi visingizio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwa Mkapa, mechi itakuwa ni 50-50. Medeama inaonekana wanapenda kufunguka same kwa Yanga.Ngumi zitarushwa wakija kwa mkapa na zitakuwa ngumi za kiufundi zaidi ivyo msiingilie vita isiyowahusu, vita yenu Iko kule moroko msijizime data
Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashabiki wa Simba mna shida sana aisee. Ni penalty kwamba job alikua mtu wa mwisho kukaba? Yan Ile ya kibabage seriously kabisa ni offside? Pale labda kunawa kwa mwamnyto ila Ile nyingine alificha mkono. Mmeanza kushabikia mpira lini lakn? Anyway nakungoja usiku mtani
Makosa ya muamuzi jana yamezi nufaisha pande zote mbili maana pia Job alisitahiri kadi mbili za njano ambayo ingekuwa nyekundu, Mediama wamenyimwa penalit 2 tena zisizo na mashaka yeyote ,kiufupi yule lefa jana alibolonga.To be honest; ile faulo aliyofanyiwa Nickson Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu. Sijajua ni kwa nini mwamuzi aliamua kutoa kadi ya njano.
Maana hata yule mchezaji mwenyewe wa Medeama bata hakuamini kama amenusurika.
Kama unakili kuwa jana Mediama walinyimwa penalty sasa unacho lalamika ni kitu gani hali ya kuwa makosa ya muamuzi yaliwanufaisha mpaka nyinyi?Panalty zipi 2. Clear penalty walionyimwa ilikua moja tu. Mi sio shabiki mandaz Mzee. Mi mtu wa boli. Mpira niliangalia mwanzo mwisho. Clear panalty ilikua moja tu. Napo hio panalty wangeipatajr mkuu wakiwa pungufu? Clear red card Tena mwamuz alikua karibu kabisa
Hv una makengeza Mzee?🤣🤣🤣🤣 Hebuichungulie vizuri kazidi nn hapo kibabage mana hata mkono Bado upo nyuma. Kama una makengeza chukua rula basi pima ndg. Mashabiki wa Simba mna akili kweli kabisa? Umenijia na picha kabisa 🤣Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.View attachment 2837312
Mnataka kung'oa viti tena nini?Ndo napowashangaa mashabiki wa Simba wanaokaza mafuvu. Yan refa Jana alikua na upendeleo wa wazwaz akaanza kubalansi. Ila wanakuja kwa mkapa. Kama faini tupigwe tu lakini huyu ni wetu
Ok Sasa hio penalty au mashambulz wangepata kama refa angekua fair kutoa red?Kama unakili kuwa jana Mediama walinyimwa penalty sasa unacho lalamika ni kitu gani hali ya kuwa makosa ya muamuzi yaliwanufaisha mpaka nyinyi?
Jaman Kwan wangoa Viti ni kina nani kama sio nyie makoloMnataka kung'oa viti tena nini?
Wala supu. Muendelee kuvaa misuliJaman Kwan wangoa Viti ni kina nani kama sio nyie makolo
Na tutavaa sana tu. Mwisho wa hako kafaraja kenu saa nne nakuapia🤣🤣 furaha yetu ni kutowaona mnaenda uwanjani tu na timu lenu bovuWala supu. Muendelee kuvaa misuli
Tukubaliane na matokeo. Simu za TZ kila mambo yakienda kombo tunalalamikia uchawi na hongoNilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale!
Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu vizuri kwa 100%.
Hakika refa uyu alifanya kazi yake ipasavyo ya KUWATOA yanga mchezoni bahati mbaya kwake alikutana na timu yenye wachezaji waliokomaa na kupevuka ipasavyo vinginevyo angefanikiwa malengo yake ya kumbeba mwenyeji kushinda mechi ya Leo!
Straight red card ilikuwa aiepukiki kwa mchezaji wa MEDEAMA, goli la wazi la kibabage ni ushahidi tosha ya refarii aliyekuwa amebet tiyali!
Pamoja na kuwabeba bado walikutana na moto wa vijana wa gamondi ambao walikosa ukatili kwenye eneo lao la mwisho kuimaliza mechi!
Medeama wametumia advantage ya uwanja wa nyumbani Sasa na yanga wakautumie vyema pia uwanja wa nyumbani kwa kuicheza iyo mechi nje ndani akuna kumhurumia kenge yeyote atakayejichanganya kutuzuia,
Kwa mkapa ni lazima waseme ni kitu Gani walimpa refarii na washika vibendera, walichompa basi na wao wasubilie kitawakuta icho icho undava undava tu mpaka kieleweke!
Mechi imekwisha na wachezaji wa MEDEAMA wamebaki wameduwaa awajaamini Kama mipango waliyoiset ingeferi kupitia refarii!
Sasa tunawakaribisha Benjamin mkapa waje tutawapokea Kama walivyotupokea!
Simba hatuna tabia ya kulalamikia waamuzi kwa sababu sisi ni wakubwa.SIjawahi kuona mechi iishe bila visingizio...iwe Simba wala Yanga.
Visingizio
Visingizio
Maneno
Maneno
TFF inawaonea sana yanga sababu ya KariaVita pale Libya vimeathiri uchumi wa nchi na mtu mmojammoja, Ma refa kutoka Libya wame udhalilisha mchezo wa mpira wa miguu.
Hongera kwa wachezji wa Yanga kuweza kuvumilia upuuzi wa kiwango chajuu uwanjani.
Wange Panic kadi nyingi zinge wahusu.