Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Mbona huongelei penalit walizo nyimwa Mediama?
Zilikuwa penati mbili na zote za kunawa, Dikson naye ile ni red cad, refa kacheza fair kabisa, Kibabage ile ni offisde inaonekana,hawa majamaa lazima walalamike tu timewazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv mbona mi sioni mantik ya wewkuongea huu upuuzi wako? Kwa hoo Ile sio goli au? Ile sio clear red card + Ile aliochezewa lomalisa kwenye mechi na alahly? Mbona Simba mmekua wehu sana baada ya kipigo Cha zile goli 5? Ok mnaongea hivyo Leo tunawangoja mpate ushindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni goli, na pia kama ni red card basi katoe ww, mnabaki kulalamika tu shame on you hamkosagi visingizio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilikuwa penati mbili na zote za kunawa, Dikson naye ile ni red cad, refa kacheza fair kabisa, Kibabage ile ni offisde inaonekana,hawa majamaa lazima walalamike tu timewazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Simba mna shida sana aisee. Ni penalty kwamba job alikua mtu wa mwisho kukaba? Yan Ile ya kibabage seriously kabisa ni offside? Pale labda kunawa kwa mwamnyto ila Ile nyingine alificha mkono. Mmeanza kushabikia mpira lini lakn? Anyway nakungoja usiku mtani
 
Ngumi zitarushwa wakija kwa mkapa na zitakuwa ngumi za kiufundi zaidi ivyo msiingilie vita isiyowahusu, vita yenu Iko kule moroko msijizime data
Hata kwa Mkapa, mechi itakuwa ni 50-50. Medeama inaonekana wanapenda kufunguka same kwa Yanga.

Atakaetumia nafasi vizuri ndio ataibuka kidedea na sio vinginevyo.

Kwa marejeo ya picha ile ilistahili Red Card, lakini pia hata Dickson Job alistahili Red Card kwa kucheza faulo 2 mfululizo baada ya kupata ile Njano.
 
Watanzania tujifunze kuacha kulalamika na kudhani tunaonewa tu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashabiki wa Simba mna shida sana aisee. Ni penalty kwamba job alikua mtu wa mwisho kukaba? Yan Ile ya kibabage seriously kabisa ni offside? Pale labda kunawa kwa mwamnyto ila Ile nyingine alificha mkono. Mmeanza kushabikia mpira lini lakn? Anyway nakungoja usiku mtani
Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.
FB_IMG_1702101414285.jpg
 
To be honest; ile faulo aliyofanyiwa Nickson Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu. Sijajua ni kwa nini mwamuzi aliamua kutoa kadi ya njano.

Maana hata yule mchezaji mwenyewe wa Medeama bata hakuamini kama amenusurika.
Makosa ya muamuzi jana yamezi nufaisha pande zote mbili maana pia Job alisitahiri kadi mbili za njano ambayo ingekuwa nyekundu, Mediama wamenyimwa penalit 2 tena zisizo na mashaka yeyote ,kiufupi yule lefa jana alibolonga.

Japo lile goli la yanga nalo kibabage alikuwa amezidi mkono japo ni kidogo sana.
 
Panalty zipi 2. Clear penalty walionyimwa ilikua moja tu. Mi sio shabiki mandaz Mzee. Mi mtu wa boli. Mpira niliangalia mwanzo mwisho. Clear panalty ilikua moja tu. Napo hio panalty wangeipatajr mkuu wakiwa pungufu? Clear red card Tena mwamuz alikua karibu kabisa
Kama unakili kuwa jana Mediama walinyimwa penalty sasa unacho lalamika ni kitu gani hali ya kuwa makosa ya muamuzi yaliwanufaisha mpaka nyinyi?
 
Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.View attachment 2837312
Hv una makengeza Mzee?🤣🤣🤣🤣 Hebuichungulie vizuri kazidi nn hapo kibabage mana hata mkono Bado upo nyuma. Kama una makengeza chukua rula basi pima ndg. Mashabiki wa Simba mna akili kweli kabisa? Umenijia na picha kabisa 🤣
 
Ndo napowashangaa mashabiki wa Simba wanaokaza mafuvu. Yan refa Jana alikua na upendeleo wa wazwaz akaanza kubalansi. Ila wanakuja kwa mkapa. Kama faini tupigwe tu lakini huyu ni wetu
Mnataka kung'oa viti tena nini?
 
Kama unakili kuwa jana Mediama walinyimwa penalty sasa unacho lalamika ni kitu gani hali ya kuwa makosa ya muamuzi yaliwanufaisha mpaka nyinyi?
Ok Sasa hio penalty au mashambulz wangepata kama refa angekua fair kutoa red?
 
Mashabiki wa Simba ombeeni timu yenu Leo ishinde au opate sare. Mnahangaika na yanga tuu.. ila furaha yenu mwisho Leo kuanzia by saa nne. Mfungwe nyingi tu Mungu aibariki waydad🤣🤣🤣🤣 undava undava tu
 
Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale!

Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu vizuri kwa 100%.

Hakika refa uyu alifanya kazi yake ipasavyo ya KUWATOA yanga mchezoni bahati mbaya kwake alikutana na timu yenye wachezaji waliokomaa na kupevuka ipasavyo vinginevyo angefanikiwa malengo yake ya kumbeba mwenyeji kushinda mechi ya Leo!

Straight red card ilikuwa aiepukiki kwa mchezaji wa MEDEAMA, goli la wazi la kibabage ni ushahidi tosha ya refarii aliyekuwa amebet tiyali!

Pamoja na kuwabeba bado walikutana na moto wa vijana wa gamondi ambao walikosa ukatili kwenye eneo lao la mwisho kuimaliza mechi!

Medeama wametumia advantage ya uwanja wa nyumbani Sasa na yanga wakautumie vyema pia uwanja wa nyumbani kwa kuicheza iyo mechi nje ndani akuna kumhurumia kenge yeyote atakayejichanganya kutuzuia,
Kwa mkapa ni lazima waseme ni kitu Gani walimpa refarii na washika vibendera, walichompa basi na wao wasubilie kitawakuta icho icho undava undava tu mpaka kieleweke!

Mechi imekwisha na wachezaji wa MEDEAMA wamebaki wameduwaa awajaamini Kama mipango waliyoiset ingeferi kupitia refarii!

Sasa tunawakaribisha Benjamin mkapa waje tutawapokea Kama walivyotupokea!
Tukubaliane na matokeo. Simu za TZ kila mambo yakienda kombo tunalalamikia uchawi na hongo
 
SIjawahi kuona mechi iishe bila visingizio...iwe Simba wala Yanga.

Visingizio
Visingizio
Maneno
Maneno
Simba hatuna tabia ya kulalamikia waamuzi kwa sababu sisi ni wakubwa.
Si kwamba sisi haya huwa hayatokei,hapana,yanatokea sana,ila tunajua ni sehemu ya mpira.Ukiwa na siku mbaya mambo yanaweza kuwa hivyo
 
Vita pale Libya vimeathiri uchumi wa nchi na mtu mmojammoja, Ma refa kutoka Libya wame udhalilisha mchezo wa mpira wa miguu.
Hongera kwa wachezji wa Yanga kuweza kuvumilia upuuzi wa kiwango chajuu uwanjani.
Wange Panic kadi nyingi zinge wahusu.
TFF inawaonea sana yanga sababu ya Karia
 
Back
Top Bottom