Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.View attachment 2837312
Mkuu hata kama alizidi mkono, sheria za mpira ni kuwa offside ni kikizidi kiungo ambacho kinaweza kufunga goli i.e kichwa, mguu na viungo vingine vya mwili isipokuwa mkono. Mkono ukitumika ni handball hivyo huwa hauhesabiki kwenye offside.
 
Ok Sasa hio penalty au mashambulz wangepata kama refa angekua fair kutoa red?
Kumbe siku hizi timu ikisha pigwa kadi nyekundu inamaanisha imesha shinda na haiwezi kufunga goli?
 
Nyie ndio waamuzi wa utopolo mtakufa na vihoro
 
nasikia wachezaji na bench la ufundi huko kumas ghana kutoka timu ya medeama wameshangazwa sana na kiwango cha young africa wanasema yanga ni timu bora sana hawajawah kuona timu nzuri kama yanga toka waanze mashindano haya ya champion..
wanasema bila refa wangekufa nyingi.
 
Ya kwamba hukuona mwamnyeto akiokoa mpira kwa mkono na ukaenda kudakwa na Diara?
Ya kwamba hukuona Baka akinawishwa mpira huku akiwa ametanua mikono?

Kwa hiyo siku hizi timu ikisha pigwa kadi nyekundu ndo tiyari inakuwa imepoteza mechi?
Mkuu Baka hakutanua mkono aliificha ndo maana refa japokuwa alikuwa pale pale hakutoa penalt. Jiridhishe google tofauti kati ya "Handball" na "Ball to hand".
 
We fala kweli Sasa goli la kibabage refa anahusika vipi
We kenge matukio ya refarii uwanjani yanarefrect mipango walivyokuwa nayo waamuzi wote wa mchezo unamtoaje mwamuzi wa kati?
 
Simba hatuna tabia ya kulalamikia waamuzi kwa sababu sisi ni wakubwa.
Si kwamba sisi haya huwa hayatokei,hapana,yanatokea sana,ila tunajua ni sehemu ya mpira.Ukiwa na siku mbaya mambo yanaweza kuwa hivyo
Tena simba ni MLEJOLOMBINYO kabisa.

Mkifungua mnamtukuna kocha na Mo kama hamna akili nzuri.

Simba wote pamoja na Mudy hamna akili kabisa.
Mudy kutwa kuwadanganya, mara ooh simba inanifilisi bora ningenunua ndege binafsi...huku ametoa cheque fake😂😂😂

Mara ooh nimetumia trilioni kusajili kumbe anaokota watu mtu mtaani kama Ayubu mateso.

Mnafukuza makocha bure kumbe usajili mbovu...kutwa kulalsmiko ooh Yanga anabebwa na marefa
 
Mkuu hata kama alizidi mkono, sheria za mpira ni kuwa offside ni kikizidi kiungo ambacho kinaweza kufunga goli i.e kichwa, mguu na viungo vingine vya mwili isipokuwa mkono. Mkono ukitumika ni handball hivyo huwa hauhesabiki kwenye offside.
Mkuu hiyo tafsiri ya sheria ya kuotea ndo kwanza naisikia kwako mm ninacho kijua ni kiungo chochote hakitakiwi kuzidi.
 
Hamjashinda hata game moja punguone nyie......yani mpaka mseme kenge nyie
 
Inajulikana kuwa Simba SC ni mbovu, ila tutapambana, nyie mlijiona magiant.
Simba mmefikia mahali, furaha yenu haipatikani yenu haipatikani kwa Simba kushinda, bali kufungwa kwa Yanga. Na kufungwa huko hafungwi na Simba..!!
 
Hata bila refa yanga mlizidiwa acha ukweli usemwe.
Satumezidiwa wapi wakati possession first half & second half zote tumewazidi medeama au ni ushabiki ndio unakusmbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…