Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Hiyo hapo itazame vizuri mkono wa kibabage alikuwa amezidi japo ni kidogo inahitaji umakini mkubwa kuiona.View attachment 2837312
Mkuu hata kama alizidi mkono, sheria za mpira ni kuwa offside ni kikizidi kiungo ambacho kinaweza kufunga goli i.e kichwa, mguu na viungo vingine vya mwili isipokuwa mkono. Mkono ukitumika ni handball hivyo huwa hauhesabiki kwenye offside.
 
Ok Sasa hio penalty au mashambulz wangepata kama refa angekua fair kutoa red?
Kumbe siku hizi timu ikisha pigwa kadi nyekundu inamaanisha imesha shinda na haiwezi kufunga goli?
 
Siku zote nàpenda kuongelea matukio halisi badala ya ushabiki. Sina akili mgando za ushabiki wa upande mmoja badala ya kusema uhalisia wa tukio. Ni aibu Kwa Mwamuzi kutoa Kadi ya njano Kwa kosa kama lile alilotendewa Kibabage. Sijui akiangalia marudio anajionaje? Nilimsikia Salama Ngale wakati wa mapumziko anasema Ile ilistahili kuwa red card Ila Refa alipoona Kibabage hajaumia Sana akàona atoe yellow! Hii excuse ndo mara ya Kwanza naisikia Kwa Mwamuzi. Nimekuwa Mwamuzi wa soka zaidi ya miaka 10, sikusoma wala kufundishwa na Mwalimu yeyote kupima ukubwa wa tukio Kwa kuangalia mtendewa kama anatoka damu. Ningeelewa kama asingetoa Kadi kabisa kama alivyofanya yule aliyeshindwa kumuonyesha Kadi yoyote Percy Tau Dar es salaam Kwa maana hakuliona tukio. Sasa huyu kaliona na kareact Muda uleule na alivyofika kakuta mchezaji kalala kajikunyata kamuonyesha Kadi ya njano Mtendaji. Bado Waamuzi ni shida hata tulioamini wanatoka nchi Zilizoendelea kiteknolojia nao kumbe ni majanga.
Nashangaa Kwa nini TFF unashindwa kuwatetea kina Ramadhan Kayoko wachezeshe maana uwezo wao hautofautiani na hawa.
Nyie ndio waamuzi wa utopolo mtakufa na vihoro
 
Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale!

Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu vizuri kwa 100%.

Hakika refa uyu alifanya kazi yake ipasavyo ya KUWATOA yanga mchezoni bahati mbaya kwake alikutana na timu yenye wachezaji waliokomaa na kupevuka ipasavyo vinginevyo angefanikiwa malengo yake ya kumbeba mwenyeji kushinda mechi ya Leo!

Straight red card ilikuwa aiepukiki kwa mchezaji wa MEDEAMA, goli la wazi la kibabage ni ushahidi tosha ya refarii aliyekuwa amebet tiyali!

Pamoja na kuwabeba bado walikutana na moto wa vijana wa gamondi ambao walikosa ukatili kwenye eneo lao la mwisho kuimaliza mechi!

Medeama wametumia advantage ya uwanja wa nyumbani Sasa na yanga wakautumie vyema pia uwanja wa nyumbani kwa kuicheza iyo mechi nje ndani akuna kumhurumia kenge yeyote atakayejichanganya kutuzuia,
Kwa mkapa ni lazima waseme ni kitu Gani walimpa refarii na washika vibendera, walichompa basi na wao wasubilie kitawakuta icho icho undava undava tu mpaka kieleweke!

Mechi imekwisha na wachezaji wa MEDEAMA wamebaki wameduwaa awajaamini Kama mipango waliyoiset ingeferi kupitia refarii!

Sasa tunawakaribisha Benjamin mkapa waje tutawapokea Kama walivyotupokea!
nasikia wachezaji na bench la ufundi huko kumas ghana kutoka timu ya medeama wameshangazwa sana na kiwango cha young africa wanasema yanga ni timu bora sana hawajawah kuona timu nzuri kama yanga toka waanze mashindano haya ya champion..
wanasema bila refa wangekufa nyingi.
 
Ya kwamba hukuona mwamnyeto akiokoa mpira kwa mkono na ukaenda kudakwa na Diara?
Ya kwamba hukuona Baka akinawishwa mpira huku akiwa ametanua mikono?

Kwa hiyo siku hizi timu ikisha pigwa kadi nyekundu ndo tiyari inakuwa imepoteza mechi?
Mkuu Baka hakutanua mkono aliificha ndo maana refa japokuwa alikuwa pale pale hakutoa penalt. Jiridhishe google tofauti kati ya "Handball" na "Ball to hand".
 
We fala kweli Sasa goli la kibabage refa anahusika vipi
We kenge matukio ya refarii uwanjani yanarefrect mipango walivyokuwa nayo waamuzi wote wa mchezo unamtoaje mwamuzi wa kati?
 
Simba hatuna tabia ya kulalamikia waamuzi kwa sababu sisi ni wakubwa.
Si kwamba sisi haya huwa hayatokei,hapana,yanatokea sana,ila tunajua ni sehemu ya mpira.Ukiwa na siku mbaya mambo yanaweza kuwa hivyo
Tena simba ni MLEJOLOMBINYO kabisa.

Mkifungua mnamtukuna kocha na Mo kama hamna akili nzuri.

Simba wote pamoja na Mudy hamna akili kabisa.
Mudy kutwa kuwadanganya, mara ooh simba inanifilisi bora ningenunua ndege binafsi...huku ametoa cheque fake😂😂😂

Mara ooh nimetumia trilioni kusajili kumbe anaokota watu mtu mtaani kama Ayubu mateso.

Mnafukuza makocha bure kumbe usajili mbovu...kutwa kulalsmiko ooh Yanga anabebwa na marefa
 
Mkuu hata kama alizidi mkono, sheria za mpira ni kuwa offside ni kikizidi kiungo ambacho kinaweza kufunga goli i.e kichwa, mguu na viungo vingine vya mwili isipokuwa mkono. Mkono ukitumika ni handball hivyo huwa hauhesabiki kwenye offside.
Mkuu hiyo tafsiri ya sheria ya kuotea ndo kwanza naisikia kwako mm ninacho kijua ni kiungo chochote hakitakiwi kuzidi.
 
Mkuu hiyo tafsiri ya sheria ya kuotea ndo kwanza naisikia kwako mm ninacho kijua ni kiungo chochote hakitakiwi kuzidi.

IMG_4757.jpg
 
Hamjashinda hata game moja punguone nyie......yani mpaka mseme kenge nyie
 
Inajulikana kuwa Simba SC ni mbovu, ila tutapambana, nyie mlijiona magiant.
Simba mmefikia mahali, furaha yenu haipatikani yenu haipatikani kwa Simba kushinda, bali kufungwa kwa Yanga. Na kufungwa huko hafungwi na Simba..!!
 
Hata bila refa yanga mlizidiwa acha ukweli usemwe.
Satumezidiwa wapi wakati possession first half & second half zote tumewazidi medeama au ni ushabiki ndio unakusmbua
 
Back
Top Bottom