Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe ambapo yeye (mmewe) atafika siku husika ya mazishi.

Katika kunihakikishia hilo kwamba kaolewa akawa kanitumia picha za familia yake. Bila kupoteza muda nikamuomba penzi ambapo alichomoa kabisa. Nikaona isiwe shida nikafuta namba zake na ukimya ukatawala. Ilipofika mida saa 10 alasiri akanitext "Kwa hiyo umenuna?"

Asee una hasira za karibu! Nikajibu kawaida. Akajibu "sawa ila andaa mazingira nitakuja usiku"Akatoa masharti hatotumia zaidi ya lisaa limoja. Ilipofika mida ya saa 1:45 usiku nikamtua ambapo saa 2:05 usiku akawa kafika. Tukapiga story chache Kisha nikamtupia kitandani na kuanza kumchezea.

Nilipotoa condom akakataa kwamba huwa zinamuumiza pia Huwa Zina harufu inayomkera. Basi ikabidi niuze mechi kwa kupiga kavu, sasa wakati tumeingia round ya pili ghafla simu yake kuita kuangalia ni mmewe akimjulisha kwamba nae kafika msibani usiku huo.

Ilibidi adanganye kaja kutafuta dawa gengeni maana kichwa kinamuuma.Ikabidi nimchomoe awahi msibani. Kilichoendelea sijui maana sijamtext Wala yeye hajanitafuta.

Ila misibani siyo sehemu salama sana Kwa wake za watu.
Umeyakanyaga subiri baada ya miezi mitatu kapime afya
 
Hiyo ni count offensive line , sasa kama amekuunga kwa mtandao utakula kwako,

Mimi ni Bora niamua kula kavu ILA nikiona mwanamke ndio ananishawish ***** navaa ndomuu[emoji359]
 
Huyu Malaya atakutumia message ikisema 'you don't know what you have got until you say goodbye'!
 
Kama hii ni hadithi ya ukweli kwa nini huogopi kujitangaza hapa kwa huyo Mwanamke kwamba umesema kila kitu kwa umma ?

na unam describe alivyo na kumtangazia hapa kwa mumewe kwamba kachiti ?

na anakufahamu, ana namba zako, na hivyo likisanuka mumewe atakujua...

Hayo wewe huyaoni au ni hadithi tu ya kitoto ?
Wabongo huwa sio wazuri sana kwenye kufikiri na kuchambua mambo Mkuu.
 
Mikoa ya kanda ya ziwa uaminifu zero. Hasa huo mkoa tajwa
 
Huko mliko dawa huwa zinauzwa gengeni kabila la wagunya bana mna vituko sana
 
Wadada weupe warefu wenye tako wataandamwa na wapenzi wao wiki hii kisa uzi wa JF.
 
Back
Top Bottom