Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Pale Ke anapojivika uhusika wa Me biologically [emoji848][emoji16]Hamna cha nature wala nn kutetea tu uzinzi
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Ke anapojivika uhusika wa Me biologically [emoji848][emoji16]Hamna cha nature wala nn kutetea tu uzinzi
Na hizi mvua naweza nikatelezea kwenye koloni la watu 🤣🤣Pole bff utapata mwingine 😂😂😂
😅😅 Haya nipe order nianze kukuletea malimao ama udongo 😜Umeshinda babu
Wewe ndi umemtia majaribuni mzee wa watu.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Analyse leo unaye huyu [emoji1787]Ukasepa kuelekea kichochoroni? Why hukubadili njia?
Kwani huba la dada na yule mubaba wake lilikufa?????Yy mwenyewe mpk leo kashindwa kurejesha penzi lake ndio ataweza ya wadogo zake huku 🤣🤣🤣🤣
Mimi bado nna hasira na yule mganga aliyetupeleka, aje atubadilishie kilinge kingine
Na kawaida Binti akiwa kigoli anakuwa anawaka balaa, Mwanaume usipokuwa makini unaingia majaribuni hivi hivi 😅Acha kujipeleka kwenye hiyo nyumba, tafuta watoto wenzio uwe unacheza nao.
Umeshaambiwa age is nothing but a number, hakuna mbaba wala mmama kwenye mapenzi.
Hapo sawa 🤗Vyote kwa pamoja😂
Ila utaendelea kumtembelea mshakaji wako.Akiendelea nitamwambia mama
Njoo ucheze/upige stori kwetu, usikae mpweke home bure.Nitatulia nyumbani
Kwasababu ametudhalilisha wanaume. Haiwezekani amtege mbaba wa watu, alafu aje huku kumpandishia Uzi.Analyse leo unaye huyu [emoji1787]