Wifi ni kweli mwanaume kuna vitu akiviangalia anajua huyu anatongozeka au anaingilika.
Wanaume waje waseme hapa km nadanganya, kuna mwanamke wa kumla siku moja na mwingine wa kupewa muda na mwingine haingiliki kabisa. Wote hao wanawafahamu.
Sasa turudi kwenye viashiria vinavyompa mwanaume go ahead ya kumtaka mwanamke kwanza,
1. Macho- hiki ndio kitu cha kwanza kinachompa mwanaume uhakika wa kumpata au kumtongoza mwanamke haijalishi km atakubaliwa au lah! Ila ana asilimia nyingi za kukubaliwa. Hapo jicho litalegezwa na KE kujifanya anaona aibu.
2.Midomo- hii nayo inatoa ishara ya mwanamke kumpa taarifa kwamba unaweza kunitongoza tu ww endelea. Utaona ataanza kujichekesha na kujiongelesha kwa sauti ya mama manunu ( sepenga)
3.Body language- Hapa utaona mwanamke kuna viungo atavichezesha na men atajua huyu anaingilika. Anakuwa hana utulivu mara ajinyonge au km ana wowowo basi atalilegeza ili kumvutia. Wengine wanang’ata kucha kujifanya wana aibu wkt chama la wana 😂😂😂
Tuje kwa hawa ndugu zetu hawa wa JF
Hawa wakimnyapia mwanaume wako ujue wanataka maokoto hawana jipya. Wao huwa wanajifanya kuwasifia kila wakiwaona mnabebishana nao wanaweka vikoment vya kujimwambafai, na ukiona wanaita sana shemeji ujue kuna kitu. Halafu ni mabingwa wa kuzama piemu sema wanaume wana vifua hawasemi mpk wapige muhuri kwanza 🤣🤣🤣🤣
Comment yangu mwenye uchungu asiguse siko vzr leo pls