Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Unavamia lipi sasa?? Au nikutafutie? 😂😂😂
Angalia lenye maokoto bff hawa wazee wa kupiga domo achana nao 🤣🤣🤣
Nitafutie bff angu
Unipachike kwenye maokoto mie
Hawa wa gombania goli siwatakiii
 
Ulinipa kimeo bff kweli hunipendi
Angalia yeye na mtoa post hii wanaitanaje halafu urudi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lomomy ni Kuwadi Kungwi kabisa, mbona hatustuani tuchangamkie fursa jamani [emoji848][emoji2960]
 
Kwanini unamtuhumu anachiti je kama anania njema kwako?
Nakushauri msikilize baba cath labda anataka kukutolea baruau akuoe uwe mke wake.
 
Kwanini unamtuhumu anachiti je kama anania njema kwako?
Nakushauri msikilize baba cath labda anataka kukutolea barau akuoe uwe mke wake.
Mimi ni mkristo, ndoa ni ya wawili
Mwanamke mmoja na mwanaume mmoja
 
Baba Cathe yupo vizuri, anajaribubkuwa strategic shida ni kuwa watoto wa siku hizi wanakuwa ahead of time. Away matches za muhimu sana!!
 
Wee acha uongo usitake kutuangushia jumba bovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww sema una tamaa shemeji, yani ww wa kumgeuka bff wangu?!!
Ww mdanganye mtoa mada ila tunajua moyo wako ulipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo...[emoji3578][emoji4]
 
Mimi ni mkristo, ndoa ni ya wawili
Mwanamke mmoja na mwanaume mmoja
Mbn unaangalia upande mmoja wa shilingi tu je kama baba cath si muumini wa mke mmoja?
Msikilize kwanza dhamira yake kama ni ndoa anataka then si utamueleza kama ww si muumini wa uke wenza.

Acha kujaji wanaume tunachiti wengine sisi tunaruhusiwa kuowa wanawake wengi
 
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Hapna we umekutana na anaecheat sasa kutuunganisha ma sisi imahusiana na nini tupumzishe kwanza bhn ephen
 
Mdogo wangu mzuri,

Kamwe usiweke Imani kwa kiumbe hai aitwaye mwanadamu, iwe wa kike ama kiume, kuwa 'dissapointed' ni suala la kugusa tu..!!
Nakaziaaaaaaaaaa..

Ukisikia utuokoe katika vishawishi, ephen_ ni moja ya kishawishi, tumeumbiwa tamaa hata nyie wanawake kuna mda mnawatamani mashemeji zenu.
 
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Ukilewa usichat

Yaani mmetofautiana na mwanaume mmoja unaingizia wanaume wote kuwa na stara..Hujafa hujaumbika umeteleza hapo...

Naamini vishawishi ni vingi tu duniani ila ukiamua kusimamia standard zako na kumshirikiaha Mungu unavuka
 
Back
Top Bottom