Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Point ni kwamba
Nilikua nina imani kuna wanaume watulivu
Jinsi baba Cathe anavyomtenda mke wake vizuri nikajua kweli wanaume watulivu wapo 100%

Kitendo alichikifanya kwangu kimenifanya nione mwanaume anaweza kua mwema kwa mkewe lkn ana makandokando kayaficha bila kuonesha dalili yoyot
Yaaah watulivu wapo wengi tu..Tambua kitu kimoja hakuna mwanadamu aliemkamilifu hivo usiwahukumu,sio kazi yako hio,umeshawishiwa umekataa that's Good umesimama imara hujateleza

Kingine hio ni sample ya namna jamii ilivyo.Unaweza kuwa na watu wengi mkiwa pamoja wanafurahi na ww ila wakiwa peke yao roho za chuki,visasi n.k vipo juu yako.
 
Ngoja leo niseme kitu maana mimi huwa ninafanya tafiti kimya kimya.

Kuna mdada anaitwa Leejay huyu akianzisha nyuzi yake itatembea balaa nahisi ni sababu ni mtu ambaye yupo social sana na anaandika uhalisia sana wa maisha.

Wa pili. Ni Ephen uzi wake wa jeshini umempa umaarufu sana nikashangaa mpaka kaka yangu Lucas Mwashambwa akatia komenti yake na wamekuwa na chemistry nzuri sana.

ila kuna watu wale wanaopost saa24 wengi huwa ni waongo waongo na hawana kazi.

Pole dada ephen mtoto wa ukonga(jokes)
 
Back
Top Bottom