Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

tuzitoe wapi mzee mwenzangu..?? Majukumu yote haya ya kulea watoto wetu, wa ndugu, watoto wa mume wa nje ya ndoa, tchaaah'..!😂😂
😂 tchaaaah eeh!!
Kwamba nyie ni watakatifu sana sio.
Hawa wake za watu wanaofumaniwa na vijana wadogo sio wanawake?
 
Nimesoma tu kichwa cha habari nikapuuza uzi kwasababu sio jambo jipya. Tunataka habari ya BINADAMU KAMNG'ATA MBWA na sio mbwa kumng'ata binadamu.
 
Back
Top Bottom