Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Hivi kumbeNgoja leo niseme kitu maana mimi huwa ninafanya tafiti kimya kimya.
Kuna mdada anaitwa Leejay huyu akianzisha nyuzi yake itatembea balaa nahisi ni sababu ni mtu ambaye yupo social sana na anaandika uhalisia sana wa maisha.
Wa pili. Ni Ephen uzi wake wa jeshini umempa umaarufu sana nikashangaa mpaka kaka yangu Lucas Mwashambwa akatia komenti yake na wamekuwa na chemistry nzuri sana.
ila kuna watu wale wanaopost saa24 wengi huwa ni waongo waongo na hawana kazi.
Pole dada ephen mtoto wa ukonga(jokes)