Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Ukilewa usichat

Yaani mmetofautiana na mwanaume mmoja unaingizia wanaume wote kuwa na stara..Hujafa hujaumbika umeteleza hapo...

Naamini vishawishi ni vingi tu duniani ila ukiamua kusimamia standard zako na kumshirikiaha Mungu unavuka
Sasa ephen_ Hilo nalo ni la kulisema? Huyo jamaaa unakaaa nae mpange kwamba hupo tayar bas mambo ya utafiti sijui uaminifu yaache kama yalivyo haya mambo hayajawahi kua na definition ya Moja Kwa moja
Point ni kwamba
Nilikua nina imani kuna wanaume watulivu
Jinsi baba Cathe anavyomtenda mke wake vizuri nikajua kweli wanaume watulivu wapo 100%

Kitendo alichokifanya kwangu kimenifanya nione mwanaume anaweza kua mwema kwa mkewe lkn ana makandokando kayaficha bila kuonesha dalili yoyote.
 
Point ni kwamba
Nilikua nina imani kuna wanaume watulivu
Jinsi baba Cathe anavyomtenda mke wake vizuri nikajua kweli wanaume watulivu wapo 100%

Kitendo alichikifanya kwangu kimenifanya nione mwanaume anaweza kua mwema kwa mkewe lkn ana makandokando kayaficha bila kuonesha dalili yoyote.
Bora hata hilo tukio limekujulisha kuwa ulikuwa unakosea kuamini hivyo, binadam hawaaminiki hata kidogo.

Unajua the more unakuwa close na mtu unamuona mara kwa mara unavutiwa nae?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
samaleko wifi yangu, tchaaah'..![emoji119]
tunaomba uwe kungwi kwa wakaskazini siye, mambo kumbe huko duniani ni makubwa mno..!

Nirudi unyagoni walaqhi', sema hapo pa 'macalio' nimewaza zile shape zetu nikasema eeh' Jehovah Shama tuhurumie, tutatingisha nini sisi wa huko 'mlimani', basi bhaana hadithi yetu itakuwa imeishia hapo..!!
Vaa yale ma-skin tight yenye masponchi ya hipsi na makalio, ukiwa nami lodge zingatia kauli ya "zima taa kwanza nivue nguo naona aibu" [emoji2960]
 
Back
Top Bottom