Nimeamini wanaume hawaaminiki

Mpe kidogo basi na ww, punguza uchoyo
 
Wala usijali maana machozi ya furaha utayaona siku hiyo yakitoka yenyewe utafikiri umepakwa pilipili kichaa usoni.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚eti pilipili kichaa usoni
Dah! Lucas maneno yako unayatoleaga wapi? Unafaa kua mwenezi wa CCM
 
Yaani magumu mno kama miwa ya kiangazi mdogo wangu๐Ÿ˜‡
Mi ndiomana siyataki unajua uko peke yako kumbe mmepangwa piemu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na ukimkuta hamnazo shem wa bff ananyapia demu huku unamuona na wala hajali sio shida zake kabisaaa!! Ndio utajua hujui!!

Watu wangu wa karibu wote wameachika sijui itakuwaje?? Had coca kaachika naye ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Siwezi kuingia
Labda uache kuonana naye kabisa, hata hapo kwake usiende. Kinyume na hapo kuna siku tu neno sikutegemea litatumika tena kama ambavyo hukutegemea kukutana naye uchochoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ