Nimeamini wanaume hawaaminiki

Akisha-KUKULW
A uje uandike na hapa pia
 
NDOA NI MAKUBALIANO YA WATU WAWILI
 
emDr unataka kusema wanawake ndo mnaaminika?

Embu sema nicheke!

Refer uzi wa Zurie wa juzi hapa
🤣🤣🤣🤣Acha kunitega Mshamba.

Obviously, nikisema ndio kwa ujumla wake ntakua nadanganya na kuzingua juu.

Pande zote bado zina wachache ambao wanaishi kwakuzingatia principles na values zinazowatoa kwenye kundi la wababaishaji. Ila ndio hivyo...ni wachache haswa.😵😵

Huo uzi nadhani ulinipita, ulikua unasema aje?
 
We ulishasema mngoni.
Wangoni nao watu!?
Wangoni wanawake kwa wanaume wote watu wa kucheat tu.
Mbona sie wanyamwezi tumetulia waaminifu hatuna kwere!?
Usitupake matope wastaarabu bhanaa.
 
Umeona sasa mmbo haya
 
Darasa la somo hili litolewe mara ngapi jamani nyie?

Wataalamu wa masuala ya malovedavi na mahusiano kwa ujumla, hutokeza humu mara kwa mara na kutoa darsa.

Wanakwambia kucheat kwa mwanaume hakumaanishi kumchoka mkewe ama haimaanishi hampendi.

Upendo unaouona anamfanyia mkewe ni upendo halisi na anampenda mkewe hasa.

Kinyume chake ni kwamba ukiona mwanamke anacheat, inamaanisha kapenda na kuvutiwa anakocheat, kwa hiyo mapenzi kwa mume wake hayapo, ama kama anaonesha mapenzi basi ni ya kuigiza.

Moyo wa mwanamke haugawanyiki kwenye kupenda.

Kwa hali hiyo basi, mwanaume anaweza akapenda multiple mamaz na penzi lake likagawika vizuri bila ya shida yoyote, ndiyo maana tunaoa mke zaidi ya mmoja na mapenzi yakastawi.

Mapenzi pamoja na kuhusiana na kupenda lakini pia ni sanaa, hasa inayohusisha matumizi ya lugha kwa tungo za riwaya pamoja na ngonjera, tungo za kubuni maneno ya kutongozeana.

Sasa kutongozwa kidogo tu na huyo mzee umebakia kumshangaa!

Basi na sisi wazoefu tunabakia kukushangaa kwa kuona unawashangaa watongozaji, mpaka tunaanza kudadisi umri wako sasa!

Nilichokufurahia una heshima zako, siyo mropokaji wa kuwavunjia heshima watongozaji kwa matusi.

Kwa nini haukutoa # za simu, haujamtendea haki huyo jamaa.

Unapotongozwa jiweke kwenye kundi ulilolichagua la kukubali ama kukataa.

Na kwenye kukataa yakupasa uwe na tungo tamu za kumfanya mtongozaji ajisikie raha na asijutie kukusemesha ama kukutana na wewe.

Halafu maneno ya kusema sijui mzee, mnene, mbaya nk nk kuuchambua wasifu wa mtu kwa muonekano wake, badala ya kuyachambua madini anayoyatema toka mdomoni mwake, unakosea sana.

Jenga uzoefu wa kumsikiliza mtongozaji namna anavyomwaga sera huku umemkazia macho ukimsoma toka kwenye paji lake la uso ili kuipata tafsiri ya maneno anayoyaongea na siyo kumkimbia kama mtoto wa shule!

Wewe unaitafsiri vipi karama ya M/Mungu kukupatia sura tamu, wadhania ni kwa ajili ya kukufurahisha mwenyewe, hapana ni kwa ajili ya kufurahisha watu wengine ama kwa lugha rahisi ni kwa ajili ya kukufanya upendwe.

Na mwaka huu utatongozwa sana tu kwa ajili ya uzuri wako acha kulaumu watu.
 
Acha maneno mengi. achia papuchi hiyo
 
We ulishasema mngoni.
Wangoni nao watu!?
Wangoni wanawake kwa wanaume wote watu wa kucheat tu.
Mbona sie wanyamwezi tumetulia waaminifu hatuna kwere!?
Usitupake matope wastaarabu bhanaa.
Ushaingiza ukabila? Ni ajabu kuona unakariri vitu vyangu.....
Hujawahi kucheat?
Wanaume wote mnacheat!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…