Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Hujawahi kucheat? Hadi unalalamika?
Yule anayekuitaga neighbour ni nani yako au kisa sijawahi kukuuliza? Mfwiiiiiii😂
Yule ni neighbour tu, why nicheat wakati napewa Kila ninachotaka? 😅😅

Turudi kwenye mada, kwanini huwa unamkazia macho Baba Cathe??
 
Sina mazoea nae zaidi ya salamu
Simkaziagi macho mimi
 
Sina mazoea nae zaidi ya salamu
Simkaziagi macho mimi
Basi ni ishara gani unazompaga? Yawezekana huwa unang'ata vidole pindi akiwa anamkumbatia Mama Cathe, hivyo akajiongeza labda na wewe unataka 😅😅
 
Simpi ishara zozote! zaidi ya 5 years tupo hapa nakua ananiona halafu leo anaanza harakati. Nimemdharau sana
 
Wifi,
Naomba kufahamu hivyo 'viashiria', isije kuwa tunayakanyaga hata humu jeiefu..!!
Wifi ni kweli mwanaume kuna vitu akiviangalia anajua huyu anatongozeka au anaingilika.
Wanaume waje waseme hapa km nadanganya, kuna mwanamke wa kumla siku moja na mwingine wa kupewa muda na mwingine haingiliki kabisa. Wote hao wanawafahamu.

Sasa turudi kwenye viashiria vinavyompa mwanaume go ahead ya kumtaka mwanamke kwanza,
1. Macho- hiki ndio kitu cha kwanza kinachompa mwanaume uhakika wa kumpata au kumtongoza mwanamke haijalishi km atakubaliwa au lah! Ila ana asilimia nyingi za kukubaliwa. Hapo jicho litalegezwa na KE kujifanya anaona aibu.

2.Midomo- hii nayo inatoa ishara ya mwanamke kumpa taarifa kwamba unaweza kunitongoza tu ww endelea. Utaona ataanza kujichekesha na kujiongelesha kwa sauti ya mama manunu ( sepenga)

3.Body language- Hapa utaona mwanamke kuna viungo atavichezesha na men atajua huyu anaingilika. Anakuwa hana utulivu mara ajinyonge au km ana wowowo basi atalilegeza ili kumvutia. Wengine wanang’ata kucha kujifanya wana aibu wkt chama la wana 😂😂😂

Tuje kwa hawa ndugu zetu hawa wa JF

Hawa wakimnyapia mwanaume wako ujue wanataka maokoto hawana jipya. Wao huwa wanajifanya kuwasifia kila wakiwaona mnabebishana nao wanaweka vikoment vya kujimwambafai, na ukiona wanaita sana shemeji ujue kuna kitu. Halafu ni mabingwa wa kuzama piemu sema wanaume wana vifua hawasemi mpk wapige muhuri kwanza 🤣🤣🤣🤣

Comment yangu mwenye uchungu asiguse siko vzr leo pls
 
Acha, kuingilia ndoa za watu, lazima umemtengenezea mazingira Baba cathe wewe, kama kweli anampenda mke wake, asinge kutongoza wewe rafki yake! Bora angefanya hata sehemu nyingine kuna signal ulimpelekea sasa zimenasa unaanza, kumwanika mzee wa watu😄 Kama sio chai hii sijui!
 
Simpi ishara zozote! zaidi ya 5 years tupo hapa nakua ananiona halafu leo anaanza harakati. Nimemdharau sana
Umemualewa vibaya, labda anataka akutafutie matirio. Siunasoma wewe? 😅😊
 
Wifi ni kweli mwanaume kuna vitu akiviangalia anajua huyu anatongozeka au anaingilika.
Wanaume waje waseme hapa km nadanganya, kuna mwanamke wa kumla siku moja na mwingine wa kupewa muda na mwingine haingiliki kabisa. Wote hao wanawafahamu.

Sasa turudi kwenye viashiria vinavyompa mwanaume go ahead ya kumtaka mwanamke kwanza,
1. Macho- hiki ndio kitu cha kwanza kinachompa mwanaume uhakika wa kumpata au kumtongoza mwanamke haijalishi km atakubaliwa au lah! Ila ana asilimia nyingi za kukubaliwa. Hapo jicho litalegezwa na KE kujifanya anaona aibu.

2.Midomo- hii nayo inatoa ishara ya mwanamke kumpa taarifa kwamba unaweza kunitongoza tu ww endelea. Utaona ataanza kujichekesha na kujiongelesha kwa sauti ya mama manunu ( sepenga)

3.Body language- Hapa utaona mwanamke kuna viungo atavichezesha na men atajua huyu anaingilika. Anakuwa hana utulivu mara ajinyonge au km ana wowowo basi atalilegeza ili kumvutia. Wengine wanang’ata kucha kujifanya wana aibu wkt chama la wana 😂😂😂

Tuje kwa hawa ndugu zetu hawa wa JF

Hawa wakimnyapia mwanaume wako ujue wanataka maokoto hawana jipya. Wao huwa wanajifanya kuwasifia kila wakiwaona mnabebishana nao wanaweka vikoment vya kujimwambafai, na ukiona wanaita sana shemeji ujue kuna kitu. Halafu ni mabingwa wa kuzama piemu sema wanaume wana vifua hawasemi mpk wapige muhuri kwanza 🤣🤣🤣🤣

Comment yangu mwenye uchungu asiguse siko vzr leo pls
Bff mbona umeandika kwa uchungu hii essay kama ya yule mke wa ulisi🤣🤣
 
Hebu tuanze na wewe. Kati ya hizo, ni ishara ipi/zipi unapendelea kuzitumia mara kwa mara?
 
Bff mbona umeandika kwa uchungu hii essay kama ya yule mke wa ulisi🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 bff kwanza ulikuwa wapi nakutafuta sikuoni best yangu…!!
Nimekuwa mama ulisi wa Shabban Madobe
 
Mpe hongera rafiki yako, inaonekana hana mambo ya Wadada wa Mjini kuzaa mtoto 1 ama 2

Mwanamke unatakiwa kumzalia Mumeo hata watoto 8 kama Mume ana uwezo wa kuwatunza
 
Watoto nane ni wengi sana
Dunia nzima uijaze peke yako!
 
🤣🤣🤣🤣 bff kwanza ulikuwa wapi nakutafuta sikuoni best yangu…!!
Nimekuwa mama ulisi wa Shabban Madobe
Nipo bff wangu....naona unatoa semina bila tshrt
 
Back
Top Bottom