Nimeamini wanaume hawaaminiki

Wewe Lamomy mbaya sana aisee. Wewe na kamati yako ndio mlipenyeza habari kwake kwamba nimeoa. Na yeye akaamini, akanitosea baharini πŸ˜…
Wee acha uongo usitake kutuangushia jumba bovu 🀣🀣🀣🀣
Ww sema una tamaa shemeji, yani ww wa kumgeuka bff wangu?!!
Ww mdanganye mtoa mada ila tunajua moyo wako ulipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee acha uongo usitake kutuangushia jumba bovu 🀣🀣🀣🀣
Ww sema una tamaa shemeji, yani ww wa kumgeuka bff wangu?!!
Ww mdanganye mtoa mada ila tunajua moyo wako ulipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aliniambia "Sitaki waume za watu Mimi" nikajiuliza "Nimeoa lini?". Kufatilia sana, nikajua waja hamkuwa na jema. Ndege akapeperukaπŸ˜…
 
Nimelia sana bff
 
Mamdogo aunt Joannah Njoo hapa Kuna kesi nzito
 
Wangapi anawatongoza huko wanamkubalia, Anacheat
Mfalme Suleiman alikuwa na Ke 700 na Masuria 300, hapo vipi Mrembo ephen...[emoji1787]

"Hakuna Ke awezaye kutumikia Mabwana wawili" imethibitishwa hakuna Ke wala si Me,
 
Mbona umerukia kwenye conclusion, kutongozwa sio kupendwaa unaweza ukatongozeka na ukawa rafiki kama rafiki wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…