GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Sasa kwann huende kwa wengine wakati una mpenzi wako.Hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwann huende kwa wengine wakati una mpenzi wako.Hapana
Whozu😊Shem kama Shem
Chafu hii 😂Sasa kwann huende kwa wengine wakati una mpenzi wako.
Kwa huyo jirani yko.Nimeenda kwa nani?
Sio kwer Mimi mchungaji Aya mmbo siyajuiWanaume ndivyo walivyo, hawaaminiki kamwee.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Whozu😊
Yeah zipo mkuu.duuu
kuna sababu za msingi za kuifuta?
Ukienda mwambie nimesema "mtaachana tuu"Sawa nitaenda
Mi mwenyewe ni Mgonjwa sana wa English figures (Vimodo), nimeamua kuwa mnafki tu [emoji23]situmii hayo madude mzee, nimeshapendwa sana vile namna niko..!!
Hapa nataka nimpigie simu nijue anaendeleaje?? Asije kutokea Burundi au Kongo kwa kipigo cha magoli 😂😂😂Asijeakajifanya kitu kibaya udugu wako😂
Wewe hupendi?Anapenda hela kuliko chochote huyo
Wasakatonge washakuja acha walipambanie tongeMbona kama wewe ndo unatafuta kutongozwa, watu wana familia yao wewe daily upo tu.
Kwanini huyo bibie asije kwako uliesingo badala yake uende kumtega tega mumewe mpaka anakutongoza hadharani mchana kweupe pee.
sasa hujatupa msimamo wako,je utafanya nini?Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!