Nimeamini wanawake hubadilika muda wowote ule

Kuna kipengele hajakielewa toka kwako 😝😝😝😝 kama kila siku sina hela! Kuna mchongo nasikilizia 🤭ndo matokeo yake hayo.
 
Kama Adam bustanini alisalitiwa itakuwa wewe? Kunywa maji na ongeza bidii ya kazi. Mwanamke kuridhika ni maamuzi yake na sio chochote kingine. Mwanamke akiwa hakutaki kila siku ni ugomvi na ni waziri kwa kuanzisha ugomvi ikibidi hadi ufe kwa stress.Mwanamke akiwa hakutaki hakosi sababu na akiwa anakupenda utajiona mwenye bahati.Dj walete wagwadu family na wazee wa ngumu kumeza.
 
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Acha kumchezea mtoto wa watu fanya haraka umuoe.
 
Unajua kuna wakati mwingine unakutana na mwanamke, yeye anakua ana mambo yake ila kakuelewa. Anaamua kukupea akijua mtakulana siku mbili tatu usepe zako nayeye apite ivi. Cha ajabu anashangaa mwezi wa 1, wa 2, wa 3 unaenda we upo tu! Mara anashangaa unaanza kumng'ang'ania kila siku unatuma tuma mameseji nk.. unaanza kumfanya kama mkeo sasa! Hee..!

Maisha ya sasa we ukipata manzi kaa mguu ndani mguu nje, msikilizie. Ukiona hasomeki usihangaike kutaka kujua ni nini we endelea na mademu wengine.
 
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Ulikua unamtunza??? Out vijizawad
 
Acha mawazo mgando na ujinsia uchwara. Binadamu wote wanabadilika
 
Dada wa watu kaona dhiki tu unamuongezea, ujue uko sokoni, akiona mwingine bora kuliko wewe anaendelea nae, tafuta mwingine wa hadhi yako
 
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Aisee rafiki angu tafta hera huna wewe aisee
 
Kwani ulitaka mfike wapi, Kama chiU ushapata mwache akawabless na wengine usiwe mbinafs Kaka hiyo huduma wote tunaitaka.
 
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
😂😂😂 safi miezi 3 tu unalalamika bro kwani ulishampenda mbona muda mfupi hivyo umewekeza moyo kwa mtu
 
Ulikua rebound boyfriend kazi yako imefika ukomo.
 
Back
Top Bottom