Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumchezea mtoto wa watu fanya haraka umuoe.Heshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Unajua kuna wakati mwingine unakutana na mwanamke, yeye anakua ana mambo yake ila kakuelewa. Anaamua kukupea akijua mtakulana siku mbili tatu usepe zako nayeye apite ivi. Cha ajabu anashangaa mwezi wa 1, wa 2, wa 3 unaenda we upo tu! Mara anashangaa unaanza kumng'ang'ania kila siku unatuma tuma mameseji nk.. unaanza kumfanya kama mkeo sasa! Hee..!Heshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Ulikua unamtunza??? Out vijizawadHeshima yenu wana JF,

Acha mawazo mgando na ujinsia uchwara. Binadamu wote wanabadilikaHeshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Aisee rafiki angu tafta hera huna wewe aiseeHeshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
😂😂😂 safi miezi 3 tu unalalamika bro kwani ulishampenda mbona muda mfupi hivyo umewekeza moyo kwa mtuHeshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Unaemkimbia ni mwanafunzi wangu wa hayo mambo sasa sijui unaenda Kwa naniiiiiiih we mkaka nilianza kupanga gia kujua nakuingiaje na kumpindua uyo ulonae kumbe una roho ngumu iviiii,, loooh sitaki narudi kwa Mpaji Mungu
Tuishi humu!kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana
Nimerudi baba nipokee tafadhali 😢😔Unaemkimbia ni mwanafunzi wangu wa hayo mambo sasa sijui unaenda Kwa nani
Breki ya kwanza twende ukapime UTI, Gono & HIVNimerudi baba nipokee tafadhali 😢😔
Haina shida ilo tu twende hata sasa.Breki ya kwanza twende ukapime UTI, Gono & HIV
Hapo ukiskia kupima mdudu kidogo pressure lazima iwe juuHaina shida ilo tu twende hata sasa.