Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
988
Reaction score
1,882
Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).

Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation period japo ninachangia mafao katika posho zangu.

Please msaada maana nataka nichukue pesa ninashida mno naishi Mburahati atayeweza
 
Hawakupi leo wala kesho, umeeingiza hela kwenye shimo refu sana lilijaa gizanene na hauna tochi hata ukiwasha tochi huwezi kuziona, namaanisha mlolongo wa kuzipata hizo laki 9 ni mrefu sana. Utapigwa danadana nyingi sana
Angefanyaje ili hali ni lazima kwa muajiriwa akatwe nssf?

Mleta uzi sijui sana kama ukiwa probation huwezi pewa barua ya kuachishwa kazi mimi nachojua ukiwa muajiriwa then usiende kazini siku5 wanakufukuza wenyewe kazi na barua wanakupa uneanda kuchukua hela yako na huchuku siku30 unawekewa hela yako wanzetu kazini hufanya hivyo
 
Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).

Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation period japo ninachangia mafao katika posho zangu.

Please msaada maana nataka nichukue pesa ninashida mno naishi Mburahati atayeweza
Daaaa nenda nssf labda utasaidika....
 
Yaani nina shida sn maana mzee anaumwa hlf sielewi kabisa sina pesa.nikaona kwanini niombe misaada wakati pesa ipo ktk nssf.
 
Back
Top Bottom