Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).

Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation period japo ninachangia mafao katika posho zangu.

Please msaada maana nataka nichukue pesa ninashida mno naishi Mburahati atayeweza
Haiwezekani.
 
Ndio mkuu ndani ya mwezi nilipewa maana nilikua na viambatanisho vyote walivyotaka. Ila ni 50% pekee sababu aliuliza kama nina degree. Na hii ni sababu nilifanya kazi kwa miezi 6 tu ikifika 18 hupewi hiyo 50% zaidi utapewa 33 ya mshahara wako wa mwisho kwa miezi 6.
 
Kwa hio ninachosema na unachosema ni kitu kile kile ila tu tunapishana yeye anaitaka hio hela yote ndio nikasema hapati yote wanampa robo robo
 
Sa100 akigeuza kibandani hupati, akitoka utapata tu bira tabu, tofauti na hapo ukileta ujuwaji mabuti ya polisisiemu yataishia mwilini mwako.
 
Back
Top Bottom