Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,569
Mkuu bila comfirmaion letter bado hujawa mwajiriwa!
Fanya kama umetunisha mfuko wa nssf tu.
Umejidisqualify mwenyewe jombaaa kung'uta mavumbi kisha songa mbele.
Halafu hili jambo la kuchangia mifuko inabdi itazamwe upya make haiwezekani mtu hujapata uhakikisho wa kazi lakini wao wanafyeka mshahara wako. Hii haijakaa sawa.