both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
Nimpangaje mkuu.Hamna utaratibu wowote ni kama kamari tu unaweza kupata au kukosa ila mwajiri wako anauwezo wa kukurahisisha kupata au kukosa
Angefanyaje ili hali ni lazima kwa muajiriwa akatwe nssf?Hawakupi leo wala kesho, umeeingiza hela kwenye shimo refu sana lilijaa gizanene na hauna tochi hata ukiwasha tochi huwezi kuziona, namaanisha mlolongo wa kuzipata hizo laki 9 ni mrefu sana. Utapigwa danadana nyingi sana
8Umechangia mfuko kwa miezi mingapi mpaka sasa?
Usiseme mfuko sema MradiUmechangia mfuko kwa miezi mingapi mpaka sasa?
Daaaa nenda nssf labda utasaidika....Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).
Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation period japo ninachangia mafao katika posho zangu.
Please msaada maana nataka nichukue pesa ninashida mno naishi Mburahati atayeweza
Usiende kazini bila taarifa
Hawezi 😃 labda awe na mtuDaaaa nenda nssf labda utasaidika....
Hela zimechotwa zoote wanagawa huko na machawa.....mtu anagombea na kivuli chakeHawezi 😃 labda awe na mtu
Wao wenyewe NSSF hela hawana, afu wazigawe kirahisi
Duh aisee 33% tuUsiende kazini bila taarifa
Wao wakutimue.. wakikupa end of contract letter ndio utapata uhalali wa kufatilia hayo mafao. Napo utapewa 33% tu sio pesa yote kwanza…
Kwann mkuuHapo sahau
NSSF sio kikoba kwamba mnavunja unachukua hela zako zote 😀Duh aisee 33% tu
Mbona wengi wanaoacha kazi hasa kwa kufukuzwa binafisi sijawahi sikia wanalalamika na badala yake husema hadharani nimepewa mafao yangu. {sector binafisi}?NSSF sio kikoba kwamba mnavunja unachukua hela zako zote 😀