Haiwezekani.Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).
Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation period japo ninachangia mafao katika posho zangu.
Please msaada maana nataka nichukue pesa ninashida mno naishi Mburahati atayeweza
Ndio mkuu ndani ya mwezi nilipewa maana nilikua na viambatanisho vyote walivyotaka. Ila ni 50% pekee sababu aliuliza kama nina degree. Na hii ni sababu nilifanya kazi kwa miezi 6 tu ikifika 18 hupewi hiyo 50% zaidi utapewa 33 ya mshahara wako wa mwisho kwa miezi 6.Siku 30?
Kwa hio ninachosema na unachosema ni kitu kile kile ila tu tunapishana yeye anaitaka hio hela yote ndio nikasema hapati yote wanampa robo roboNdio mkuu ndani ya mwezi nilipewa maana nilikua na viambatanisho vyote walivyotaka. Ila ni 50% pekee sababu aliuliza kama nina degree. Na hii ni sababu nilifanya kazi kwa miezi 6 tu ikifika 18 hupewi hiyo 50% zaidi utapewa 33 ya mshahara wako wa mwisho kwa miezi 6.
Unataka umkoseshe hela zote maana kule statement ya muajiri ndio malipo yako sasa akifanya pyeee na muajiri akifanya pyeee hela zimepeperuka shaurizakeWeka mazingira akufukuze kazi ili udai fidia
Kwa sababu na yeye amechoka kufanya kazi, inabidi tu aanzishe ligi na muajiri.Unataka umkoseshe hela zote maana kule statement ya muajiri ndio malipo yako sasa akifanya pyeee na muajiri akifanya pyeee hela zimepeperuka shaurizake
Muajiri kashika mpini wewe umeshika makali sasa vuta uanze kuchuruzika damu huku umebakiwa na jeraha kubwaKwa sababu na yeye amechoka kufanya kazi, inabidi tu aanzishe ligi na muajiri.