Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Habari wana Jf,
Baada ya kusota bila ajira kwa miaka 5 Sasa nimekubali Jiji la Dar siyo sehemu yangu sahihi ya kuishi na kufanikiwa, hivyo nime amua kwenda kianzisha makazi Mtwara Mjini au Lindi Mjini
Naombeni Wake wa maeneo husika wanisaidie kujua.
1. Bei ya frame ya biashara maeneo ya Lindi mjini karibu na Soko kuu la vyakula?
2. Lindi/Mtwara mjini kuna upungufu wa bidhaa gani ambayo hata nikiwa nazitoa Dar au mkoa wowote kuleta apo lindi piga uwa Wamakuwa/Makonde wata nunua kwa gharama yoyote?
3. Tupeane Taarifa ya Fursa ya biashara zinazo wezekana Lindi na Mtwara zaidi kuliko maeneo yote.
Asanteni, nategemea ushauri wenu wapendwa.