Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
🙄😒😏Mkuu usithubutu kwenda Lindi mjini,kwa kusini sehemu sahihi kupambania ni masasi na angalau Mtwara mjini,nachingwea na newala,ila anza kuiwazia masasi kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄😒😏Mkuu usithubutu kwenda Lindi mjini,kwa kusini sehemu sahihi kupambania ni masasi na angalau Mtwara mjini,nachingwea na newala,ila anza kuiwazia masasi kwanza
Siku zingine utoe huo muongozo na wewe.Ngoja waje kukupa muongozo...
Kama biashara aweke goli lake masasi ndio kwenye mzunguko ama mtwara mjini..halafu hiyo miji mingine awe anaenda kukusanya ama kusambaza bidhaa kulingana na aina ya biashara yake..huo ndio ushuri wangu.Mkuu usithubutu kwenda Lindi mjini,kwa kusini sehemu sahihi kupambania ni masasi na angalau Mtwara mjini,nachingwea na newala,ila anza kuiwazia masasi kwanza
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Siku zingine utoe huo muongozo na wewe.
Dah mkuu mm ndo nimehamia tandale soko jipya naanz n simuKama unataka biashara nenda masas..bei ya frem kwa soko la mkuti ni m2 hadi m4 kwa mwaka..chini ya hapo unapata pia kwa maeneo mengine kama soko la tandale.
Biashara kama walivyosema wadau spea za pikipiki..nafaka..nyama..dagaa na samaki.
Vipodozi na nguo za wanawake.
Speaa za electronics nazo dili sana.
Njoo pia jiandae kupiga biashara ya nafaka kulingana na msimu..choroko..mbaazi..ufuta na korosho.
Karibu sana..ukifika usisahau kununua ardhi mashamba na viwanja.
#MaendeleoHayanaChama
Tupe muongozo wa simu unanunulia wapi na bei zake???MKUU KWA LINDI USIJARIBU NIMEZALIW KUSINI NAKUJUA FIK HAT MTWAR MJIN BIASHAR ZIMEYUMB MZUNGUKO HKUN HPO LINDI NDO KUKAVU KBSA KWANZ MJI UMEDUMAA HAWAN HELA WANAUWEZ WA MWERA WENYEWE N WAMAKONDE NJOO MASASI MM NINEHAMIA MASASI NAANZ N DUK L SMU TANDALE SOKO JIPYA
Tandale mitaa yangu sana..soko la wakulima tuna liita..nikirudi masasi ntakucheki.Dah mkuu mm ndo nimehamia tandale soko jipya naanz n simu
[emoji3][emoji3][emoji3] exactlyInategemea na soko lako..kama ni dsm unanunusa unasafirisha dsm unauza ...wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwa matajiri wakubwa..hukuhuku..wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwenye minada ya ushirika.
#MaendeleoHayanaChama
Dah! Hii kali sasa. Kwa hiyo wamejiungia madawa eh?!Karibu Sana Lindi. Dada zetu ni watamu ila ni wachawi balaaaa
Mwambie bora aende Mtwara mana Masasi ipo mtwaraKuliko uende lindi bora masasi lakini biashara yeyote inategemea mtaji wako mfano ukienda masasi una weka frem ya spea zozote unatoboa ndani ya mda mfupi ... huu ni mtazamo wangu
Kweli Bora Mtwara, Mimi pia nimechagua Mtwara...nishalipia frem teyari.. masasi changamoto yake ushindani ni mkubwa mno, kuna wakinga, wabena wanauza bidhaa rahis mno, kama mtaji wako mdogo Masasi hapakufai kabisa.Mwambie bora aende Mtwara mana Masasi ipo mtwara
Kweli Bora Mtwara, Mimi pia nimechagua Mtwara...nishalipia frem teyari.. masasi changamoto yake ushindani ni mkubwa mno, kuna wakinga, wabena wanauza bidhaa rahis mno, kama mtaji wako mdogo Masasi hapakufai kabisa.Mwambie bora aende Mtwara mana Masasi ipo mtwara
Dah... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibu Sana Lindi. Dada zetu ni watamu ila ni wachawi balaaaa
Dsm ndio kila kitu ila ukumbuke kuna ushindani mkubwa,so kwa mtu anayeanza biashara inakuwa changamoto sana kuchagua location na aina ya biashara maana karibia biashara zote wauzaji ni wengi kwenye kila mtaa.Kama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....
Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....