Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisasasa akili zimeanza kuwaingia sasa. Dar kama una mtaji wa milioni 30 kwenda juu wewe ni machinga wa dar.
dar ya sasa kama una akili ni kuhama kuchukua fursa za hapo na kupeleka mikoani
NakaziaKuliko uende lindi bora masasi lakini biashara yeyote inategemea mtaji wako mfano ukienda masasi una weka frem ya spea zozote unatoboa ndani ya mda mfupi ... huu ni mtazamo wangu
SahihiNakushauri nenda Masasi,fursa ni nyingi sana ila unatakiwa kulenga biashara ambayo uuzaji wake isiwe bei kubwa na faida uitakayo iwe ndogo ili uuze vitu vingi kwa mfupi,mie niliona vitu kama nguo,viatu,matunda nk
Dsm kumejaa na kupata fursa inabidi uwe gaidi sana...pia mtaji una mata zaidi.Kama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....
Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....
Soon nakuja mwanza..kuweka makazi.2007 nlimaliza degree yangu UD 2008 nikapata kazi mwanza nikaja kuriport, akatakiwa mtu mwingine wa kusaidana naye, nikawapigia collegemate tuliokuwa darasa moja wakagoma kabisa kuja wanasema acha wapambane hapahapa dar. 2018 wote nliowapigia walikuwa bado wpo mtaani hwana kaziwawili kati yao wakanipigia simu kuulizia zile nafasi kama.bado zipo hata kuvoluntia wapo tayari. Wakati huo mm nna nyumba sita ninadrive mkweche flani
Kama unataka biashara nenda masas..bei ya frem kwa soko la mkuti ni m2 hadi m4 kwa mwaka..chini ya hapo unapata pia kwa maeneo mengine kama soko la tandale.Habari wana Jf,
Baada ya kusota bila ajira kwa miaka 5 Sasa nimekubali Jiji la dar siyo sehemu yangu sahihi ya kuishi na kufanikiwa, hivyo nime amua kwenda kianzisha makazi Mtwara Mjini au Lindi Mjini
Naombeni Wake wa maeneo husika wanisaidie kujua.
1. Bei ya frame ya biashara maeneo ya Lindi mjini karibu na Soko kuu la vyakula?
2. Lindi/Mtwara mjini kuna upungufu wa bidhaa gani ambayo hata nikiwa nazitoa Dar au mkoa wowote kuleta apo lindi piga uwa Wamakuwa/Makonde wata nunua kwa gharama yoyote?
3. Tupeane Taarifa ya Fursa ya biashara zinazo wezekana Lindi na Mtwara zaidi kuliko maeneo yote.
Asanteni, nategemea ushauri wenu wapendwa.
Asante kaka.. vip sasa fursa gani uko nijiandaye nayo kuingiza kipato maana hao madada wata taka kunitoa upepo angalao nijue fursa ya kunijaza upepo.
Mkuu DSM sio kila kitu.Kama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....
Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....
Ndio zipo, ndiomaana kuna watu mikoani wana uchumi mkubwa kuliko waliopo darMikoan Kuna hela kweli?
Dar life la kuigiza.Mikoani Kuna hela balaa na life ni real.Mikoan Kuna hela kweli?
Watu wa dsm waaaminigi mikoani kuna wakulima tu..kumbe kuna madoni kuliko hata wengi waliopo dsm.Ndio zipo, ndiomaana kuna watu mikoani wana uchumi mkubwa kuliko waliopo dar
Dsm kama huna hela za kifisadi utaishia kutoil tuuu, mikoani pa ukweli sana....!!!sasa akili zimeanza kuwaingia sasa. Dar kama una mtaji wa milioni 30 kwenda juu wewe ni machinga wa dar.
dar ya sasa kama una akili ni kuhama kuchukua fursa za hapo na kupeleka mikoani
Huu mtazamo ndio unafanya wengi wakomae huko dsm na kuwa na too much expectations..matokeo yake mnaumizwa na sonona..Tanzania ni kubwa sana,haihitaji akili nyingi kulitambua hilo.Kama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....
Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....
Kwa biashara ndogo ndogo , Dar kweli inaweza kuwa sehemu nzuri , lakini kama una malengo ya biashara kubwa dar sio sehemu sahihi kuanzaKama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....
Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....