jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Na hata hao biashara ndogo ndogo nyingi zinaenda na mfumo wa hand to mouth.Kwa biashara ndogo ndogo , Dar kweli inaweza kuwa sehemu nzuri , lakini kama una malengo ya biashara kubwa dar sio sehemu sahihi kuanza
Huyu jamaa anaongelea level ya Fremu, sio machinga.
kama umeshafika hebu cheki tray ya mayai ya kisasa bei gani huko? tunaweza kufanya jambo letu.2. Lindi/Mtwara mjini kuna upungufu wa bidhaa gani ambayo hata nikiwa nazitoa Dar au mkoa wowote kuleta apo lindi piga uwa Wamakuwa/Makonde wata nunua kwa gharama yoyote?
Biashara ndogo ndogo ndo disaster Kwa DSM , cause ni kweli unapata hata 20000 per day , Ila matumizi too much , mikoani mtu anaweza pata hyo ten na akapaa chapNa hata hao biashara ndogo ndogo nyingi zinaenda na mfumo wa hand to mouth.
#MaendeleoHayanaChama
Dsm inahitaji mtaji naroho ya ukatili ndio utoboe..mana kila kona watu wanataka wapige hela yako..kuanzia madalali..wasafirishaji wauzaji..hapo bado hujakutana na matapeli.Kila la kheri mkuu....sisi wengine tulikua na plan mwaka huu tukajarb kuwekesa DSM Kwa mtaji w 1m ila kupitia uxi wako huu napata kaukakasi ....nawaza Bora niende tu hapo dumila kucheki fursa nitoke huku Dom _kongwa
Kama unataka biashara nenda masas..bei ya frem kwa soko la mkuti ni m2 hadi m4 kwa mwaka..chini ya hapo unapata pia kwa maeneo mengine kama soko la tandale.
Biashara kama walivyosema wadau spea za pikipiki..nafaka..nyama..dagaa na samaki.
Vipodozi na nguo za wanawake.
Speaa za electronics nazo dili sana.
Njoo pia jiandae kupiga biashara ya nafaka kulingana na msimu..choroko..mbaazi..ufuta na korosho.
Karibu sana..ukifika usisahau kununua ardhi mashamba na viwanja.
#MaendeleoHayanaChama
nafaka Lindi,Mtwara na Masasi huwa wanatoa SongeaNipe ABC kidogo hili la nafaka unanunua alafu unauza wapi au ni uko uko
Inategemea na soko lako..kama ni dsm unanunusa unasafirisha dsm unauza ...wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwa matajiri wakubwa..hukuhuku..wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwenye minada ya ushirika.Nipe ABC kidogo hili la nafaka unanunua alafu unauza wapi au ni uko uko
Hapo ni mahindi na maharage.nafaka Lindi,Mtwara na Masasi huwa wanatoa Songea
Hivi wewe umerogwaa huoni au?? umeshaambiwa wadada ni wachawi huko!!! sasa huoni hii ni Bonge ya fursa hiyo wewe??? ukifika huko sasa wewe fanya biashara ya uchawi una chukua uchawi Masasi/Lindi unapeleka kuuza Dar!! kwa bei mbaya!!Asante kaka.. vip sasa fursa gani uko nijiandaye nayo kuingiza kipato maana hao madada wata taka kunitoa upepo angalao nijue fursa ya kunijaza upepo.
Dah ukiangalia kwa makini kabla ya kusoma unaweza fikiri ni ushauri kumbe ni mawazo ya mtu binafsiHivi wewe umerogwaa huoni au?? umeshaambiwa wadada ni wachawi huko!!! sasa huoni hii ni Bonge ya fursa hiyo wewe??? ukifika huko sasa wewe fanya biashara ya uchawi una chukua uchawi Masasi/Lindi unapeleka kuuza Dar!! kwa bei mbaya!!
Usafiri km wa Ungo ukiupata huu tu!! hee! unatosha kabisaa kukutoa!!! Mwaka tu uko mbali!! ...usafiri ulivyo wa shida DSM wewe unatega ungo wako tu palee Salasala/Posta/kariakoo!! na wateja wako wa kudumu 60 tu!! una uhakika wa kutoka!
hakikisha unasafisha njia kwa wale waganga wanoko wa Kawe walipe kidogo kidogo wasilie njaa!! wakatungua ndege yako utakosa wateja!! Mama ntilie , wauza Magenge, Maduka hao!!! wa kule salasala watakuwa wateja wako wazuri tu!!
hivi navosema sasa, kuna watu wanapiga kazi huko!! wanapata mitaji si kawaida! km ukiona moja ya wateja ame kuwa mnoko mnoko hivi achana nae faster! yaani mpige chini! sasa wewe bado unalia lia!! lia!! tu .......fursa!!! fursa!! mfyuuuuxvc !
Hee !!! mwingine huyu hapa?? sasa kumbe wewe unatoa mawazo ya ushirika mkuu au??....hapa unamshauri kulingana na wewe unavoona ni sahihi! na mleta mada atapiga pesa ndefu weee vepe wa mkoa nini???Dah ukiangalia kwa makini kabla ya kusoma unaweza fikiri ni ushauri kumbe ni mawazo ya mtu binafsi
Kweli kuna watu na viatu
πππKaribu Sana Lindi. Dada zetu ni watamu ila ni wachawi balaaaa