Nimeamua kuachana na Jiji la Dar, nazifuata fursa Mtwara/Lindi

Mkuu usithubutu kwenda Lindi mjini,kwa kusini sehemu sahihi kupambania ni masasi na angalau Mtwara mjini,nachingwea na newala,ila anza kuiwazia masasi kwanza
πŸ™„πŸ˜’πŸ˜
 
Mkuu usithubutu kwenda Lindi mjini,kwa kusini sehemu sahihi kupambania ni masasi na angalau Mtwara mjini,nachingwea na newala,ila anza kuiwazia masasi kwanza
Kama biashara aweke goli lake masasi ndio kwenye mzunguko ama mtwara mjini..halafu hiyo miji mingine awe anaenda kukusanya ama kusambaza bidhaa kulingana na aina ya biashara yake..huo ndio ushuri wangu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dah mkuu mm ndo nimehamia tandale soko jipya naanz n simu
 
MKUU KWA LINDI USIJARIBU NIMEZALIW KUSINI NAKUJUA FIK HAT MTWAR MJIN BIASHAR ZIMEYUMB MZUNGUKO HKUN HPO LINDI NDO KUKAVU KBSA KWANZ MJI UMEDUMAA HAWAN HELA WANAUWEZ WA MWERA WENYEWE N WAMAKONDE NJOO MASASI MM NINEHAMIA MASASI NAANZ N DUK L SMU TANDALE SOKO JIPYA
 
Tupe muongozo wa simu unanunulia wapi na bei zake???
 
Dah mkuu mm ndo nimehamia tandale soko jipya naanz n simu
Tandale mitaa yangu sana..soko la wakulima tuna liita..nikirudi masasi ntakucheki.

Kila jema..Mungu akuongoze.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inategemea na soko lako..kama ni dsm unanunusa unasafirisha dsm unauza ...wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwa matajiri wakubwa..hukuhuku..wengine hununua kwa wakulima kisha huuza kwenye minada ya ushirika.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji3][emoji3][emoji3] exactly
 
Mwambie bora aende Mtwara mana Masasi ipo mtwara
Kweli Bora Mtwara, Mimi pia nimechagua Mtwara...nishalipia frem teyari.. masasi changamoto yake ushindani ni mkubwa mno, kuna wakinga, wabena wanauza bidhaa rahis mno, kama mtaji wako mdogo Masasi hapakufai kabisa.

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Kama dsm imekushinda utapaweza mkoani kweli ....

Dsm ndio kila kitu ,biashara za kila aina zinafanyika ,Sasa sijui unakimbilia wapi ....
Dsm ndio kila kitu ila ukumbuke kuna ushindani mkubwa,so kwa mtu anayeanza biashara inakuwa changamoto sana kuchagua location na aina ya biashara maana karibia biashara zote wauzaji ni wengi kwenye kila mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…