Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Sijui chochote sijui kama unanielewa? Nimezaliwa hapa mjini ,Bombo ,nimekulia hapa ...Watu wote wa hapa ni ndugu ila sijui chochote kuhusu kabila langu...Most of my neighbors ni wadigo ,wasambaa ,wapare ,wapemba na wachaga.Basi utamaduni unao.
Lugha ni sehemu ya utamaduni bado wazigua, wabondei, Wasambaa, wadigo na Wagunya wa kule Mkinga na Horohoro.
Hivyo ni ngumu kufuta utamaduni wa watu kwenye kila kitu ila kwenye maswala ya Imani kwa watu wa pwani.
Yaani kuanzia Tanga hadi Mtwara bado mnachanganya dini za jadi na hizi za jahazi.
Hivyo hujakana ila umeonyesha athari ya Imani na elimu ya kigeni
Huwezi kulauma maana tunaendelea pale tulipozaliwa ,the funny fact :mzee hapendi tufangamane na mambo ya kikabila 😀.