Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Unatambua maama na asili ya U-Islam au umekaririshwa tu?
U-Islam asili yake ni mila na tamaduni za ukoo wa Islam na lazima Mu-Islam awe mwarabu kulingana na asili ya ukoo wa islam kuwa ni Iatabini.

Haya uliyo yaandika yanapatikana katika Kitabu gani ?

Tangu najifunza UISLAMU mpaka Leo, sijawahi kuona hiki unachokiandika.

Kwa ufupi umeandika uongo na inaonekana hujui hata maana ya UISLAMU.

UISLAMU upo tangu Adamu, na hakuna Mtume wala nabii ambaye hakuna Muislamu.

Hakuna Ukoo wa Islam.
 
Bila dini Kuna uhalisia ulio halisi wa asili. Jiulize nyuki anatengeneza asali ana dini au amefundishwa? Je, mchwa amefundishwa kujenga nyumba yake? Buibui amefundishwa kutengeneza utando wake? Ndege kama shorwe amefundishwa kujenga kiota chake?

Kwanini wewe na mimi tufundishwe kuhusu dini tunapozaliwa?

Dini imewekwa kwa ajili ya kunufaisha watawala/Elites.

Ukijiuliza maswali utapata majibu
Exactly,wafia dini hawana muda wa kujiuliza au kudadisi mafundisho waliyolishwa
 
Haya uliyo yaandika yanapatikana katika Kitabu gani ?

Tangu najifunza UISLAMU mpaka Leo, sijawahi kuona hiki unachokiandika.

Kwa ufupi umeandika uongo na inaonekana hujui hata maana ya UISLAMU.

UISLAMU upo tangu Adamu, na hakuna Mtume wala nabii ambaye hakuna Muislamu.

Hakuna Ukoo wa Islam.
sawa
 
Anawajua waliowake kama wewe ni Mwana wa Mungu huna muda mrefu utarudi mwenyewe.
 
Huo ndiyo utumwa wa kifikira unaoelezwa sasa,hujui ulikotoka,uko wapi na unaenda wapi!!
Nilipozaliwa kwetu hakuna makabila yalishaisha ...Siwezi kufuata makabila nayasikia tu ...Nimeanzi pale nilipozaliwa sio mtumwa may be usome kwanza utaelewa .
 
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.

Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.

Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.

Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.

Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Mkuu hujalazimishwa kufuata Dini yyote fuata dini upendayo hata usifuate poa tu .
 
Back
Top Bottom