Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Sijui chochote sijui kama unanielewa? Nimezaliwa hapa mjini ,Bombo ,nimekulia hapa ...Watu wote wa hapa ni ndugu ila sijui chochote kuhusu kabila langu...Most of my neighbors ni wadigo ,wasambaa ,wapare ,wapemba na wachaga.

Huwezi kulauma maana tunaendelea pale tulipozaliwa ,the funny fact :mzee hapendi tufangamane na mambo ya kikabila 😀.
 
Anajua mna utamaduni wenu
Anajua mna lugha yenu
Anajua mna historia yenu
Anajua mna utambulisho wenu.
Anajua mnakozika watu wenu

Hivyo ni jukumu lako kama mwanaume kujua vyote.
Hivyo elewa utamaduni upo na ninyi mnao.
Labda akwambie sababu kwa nini hataki ?
 
Lugha situmii ,mimi mswahili...
 
Nami niliacha hizo vitu kitambo, naamini uwepo wa almighty creator, lakini ni namna gani ya kumwabudu?
 
Kwa maelezo yako, utaratibu unao ufuata ni wa kiarabu kwa asilimia 90.
Na inawezekana ule wa Oman umekutawala.
Sifuati tamaduni za Kiarabu ,sina hata kanzu...Mimi ni muislamu wala silazimishi mtu afaute ,nafuata sala 5 kwa siku.
 
Kufikia 2040 hizi dini zitabaki kama maonesho katika maeneo ya kihistoria huku makanisa+misikiti ikibaki magofu na baadhi kugeuzwa madampo ya kuhifadhi bidhaa zilizopitwa na wakati.

Suala la muda tu acha waendelee kudanganyana ktk hayo majengo yao ya ibada za kipuuzi lkn mwisho wake ndio huu, hawana muda mrefu, dini zote zitakufa na utabaki ukweli halisia unaopaswa kujulikana na kila mtu.
 
Ukiacha ndoa, dini ni aina nyingine ya utapeli mkubwa. Kanisa la KKKT lina michango lukuki sijawahi kuona kabla.
 
Angalia theory za kufikirika eti kuta kuwa na mabikra 72, kisa tu kasikia au kuambiwa.

vipi na hawa wanawake na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
Wanawake hawapewi sababu WANAUME wanapewa wanawake Sasa utampaje mwanamke mwanaume, Bali mwanaume mwanamke,
 
Kiranga akikusapoti hapa mkumbushe kujibu swali LANGU hakujibu sijui alikimbia.

Nilimuuliza contradiction ipi inayomtatiza kwenye ukiristo akapotea kama moshi
 
Hongera kwa kulijua hilo

Dini ni utapeli na dini kama dini haikufikishi mbinguni ,dini sio njia ya kwenda uzimani

Dini ni harakati,utapeli , mishemishe, mbilingembilinge za mwanadamu kutumia jina la Mungu kupata pesa

Huu ni mfano wa dini jinsi zinavyoibia watu pesa 👇👇
 
Ukiishi kwa kujiamulia mwenyewe utaishi kwa raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…