Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Unatambua maama na asili ya U-Islam au umekaririshwa tu?
U-Islam asili yake ni mila na tamaduni za ukoo wa Islam na lazima Mu-Islam awe mwarabu kulingana na asili ya ukoo wa islam kuwa ni Iatabini.

Haya uliyo yaandika yanapatikana katika Kitabu gani ?

Tangu najifunza UISLAMU mpaka Leo, sijawahi kuona hiki unachokiandika.

Kwa ufupi umeandika uongo na inaonekana hujui hata maana ya UISLAMU.

UISLAMU upo tangu Adamu, na hakuna Mtume wala nabii ambaye hakuna Muislamu.

Hakuna Ukoo wa Islam.
 
Exactly,wafia dini hawana muda wa kujiuliza au kudadisi mafundisho waliyolishwa
 
sawa
 
Anawajua waliowake kama wewe ni Mwana wa Mungu huna muda mrefu utarudi mwenyewe.
 
Huo ndiyo utumwa wa kifikira unaoelezwa sasa,hujui ulikotoka,uko wapi na unaenda wapi!!
Nilipozaliwa kwetu hakuna makabila yalishaisha ...Siwezi kufuata makabila nayasikia tu ...Nimeanzi pale nilipozaliwa sio mtumwa may be usome kwanza utaelewa .
 
Mkuu hujalazimishwa kufuata Dini yyote fuata dini upendayo hata usifuate poa tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…