Umeongea ukweli, nime kaa TBL miaka 2 ,nimeona hiloUnamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where
Hapana watu wanafanya vizuri sanaLakini mkuu samahani Ila ni wazo zuri majaribu kupita gerage nyingi sion kama watu wanapeleka magari yafanyiwe diagnosis wengi naona tu
Wanakadiria manually kwa macho, kama huku kwetu vifaa vya diagnosis mtaa naokaa vipo sehemu tatu tu
Sasa mkuu kwa dunia hii ya Leo kuna kazi gani Inapatikana kirahisiUnamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where
Ada yake ikoje, what about mecha-tronics I mean wiring ya magariHapana watu wanafanya vizuri sana
ForkliftWakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Asante mkuuForklift
Operators wa forklift wamekuwa wengi, nashauri someaWakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Mkuu hayo mavitu 😂hayo makubwa sanaOperators wa forklift wamekuwa wengi, nashauri somea
1. Grader au
2. Wheel loader
NB: Hakikisha unakuwa na weledi na ustadi wa hali ya juu, ni dili sana haswa migodini, waulize watingaji watakuchana
Sahihi, ndo palipo na benjamin franklin ($) sasa 😂Mkuu hayo mavitu 😂hayo makubwa sana
Inaelekea unapenda kufokoa fokoa sana lakini kuwa makini opportunity never come twice/?Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Sema kwa forklift pia si haba, yategemea unagangia wapi tu; TPA, TBL, BONITE, SIMBA nakadhalikaMkuu hayo mavitu 😂hayo makubwa sana
Una leseni daraja gani mkuu?Sasa mkuu kwa dunia hii ya Leo kuna kazi gani Inapatikana kirahisi
Maybe your suggesion au mawazo yako kwenye upande wa vyombo vya moto, ufundi na logistics wapi angalau kijana anaweza ingia akafight angalau mambo yaka kaa Sawa ukiachilia bajaji maana mimi ni driver bajaji kwa sasa pia, ni driver wa hzi land cruiser sometimes napeleka maboss kwenye mishe zao
Veta hawafundishi diagnosis za magariVeta chang'ombe
Likijiko lisije Lina vunja kiunoSahihi, ndo palipo na benjamin franklin ($) sasa 😂
Nenda chuo cha usafirishaji yaani NITWakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Nenda NIT ada si chini ya laki 5Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?