Nimeamua kuachana na white collar jobs je? Ni Chuo kipi kinafundisha vizuri focal lift

Nimeamua kuachana na white collar jobs je? Ni Chuo kipi kinafundisha vizuri focal lift

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
 
Hayo mamitambo huwa yanafundiswha wiki mbili Hadi mwezi mmoja inategemea na chuo utakachopenda kwenda kama ni cha bandari, au cha Shinyanga au IHET. Ila angalia upatikanaji wake wa kazi si rahisi.
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Natamani sana kusoma....aircraft maintanance ....natamaniii sanaaa
 
Unamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where
 
Veta chang'ombe
Lakini mkuu samahani Ila ni wazo zuri majaribu kupita gerage nyingi sion kama watu wanapeleka magari yafanyiwe diagnosis wengi naona tu
Wanakadiria manually kwa macho, kama huku kwetu vifaa vya diagnosis mtaa naokaa vipo sehemu tatu tu
 
Back
Top Bottom