majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
HAbar za wakati.
Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko
Baada ya kumueleza hisia zangu kwake akawa mgumu lakn baadae kama miezi kadhaa amenikubali na mama yake mzazi pia ameniridhia kuwa karibu na Binti yake
Hivyo tupo sawa kwa sasa na pia mda sio mrefu nampeleka posa Kisha ndoa ifuate Mungu asaidie
Nimeamua kuanza upya bila kujali nyuma kilitokea nini
Je? Huenda nimefanya jambo lisilo sahihi