Nimeamua kuanza upya bila kujali watasema nini

Nimeamua kuanza upya bila kujali watasema nini

Angekuwa anajitunza an
Binti nimekuwanae kweny mahusiano ya urafik mda mrefu na baadhi ya tabia nimeziona yupo smart na anajitunza s

Binti nimekuwanae kweny mahusiano ya urafik mda mrefu na baadhi ya tabia nimeziona yupo smart na anajitunza sana
Mkuu ningekuwa karibu na wew ningekupiga kofi moja la tako,yani demu kazalishwa unasema anajitunza daah..
Kweli wanaume wamebaki wachache sanaa.
 
Angekuwa anajitunza an



Mkuu ningekuwa karibu na wew ningekupiga kofi moja la tako,yani demu kazalishwa unasema anajitunza daah..
Kweli wanaume wamebaki wachache sanaa.
Hajawahi kuwa na mtoto mkuu ila tu alishawahi kuwa na mchumba sas jamaa yupo mkoa mwingne tofauti na anapoishi uyu Binti na tofaut ya kidini ilipelekea jamaa kuangalia mambo yake na kuliacha Jimbo likiwa halina mmiliki
 
HAbar za wakati.

Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko

Baada ya kumueleza hisia zangu kwake akawa mgumu lakn baadae kama miezi kadhaa amenikubali na mama yake mzazi pia ameniridhia kuwa karibu na Binti yake

Hivyo tupo sawa kwa sasa na pia mda sio mrefu nampeleka posa Kisha ndoa ifuate Mungu asaidie

Nimeamua kuanza upya bila kujali nyuma kilitokea nini

Je? Huenda nimefanya jambo lisilo sahihi
Soma vizuri ulichoandika kaka
 
Angekuwa anajitunza an



Mkuu ningekuwa karibu na wew ningekupiga kofi moja la tako,yani demu kazalishwa unasema anajitunza daah..
Kweli wanaume wamebaki wachache sana
Hatari tupuuuuh
 
Me ndio nilikua mchumba w uyo binti we oa tu ni binti mrembo sn...alafu yupo mkoa unaanzia na herufi M...
 
Hujui kwamba ndio anachotaka hajaja kukaa na wewe ili akufulie, akupikie na kukuoshea vyombo amekuja ili umtombe sasa km hujui jiandae kisaikolojia utakipatapata
Hapo nitafanya kile kilichomo kweny uwezo Wang lakn nkichoka namwambia mbona sio vita
 
Back
Top Bottom